maramia
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 2,029
- 1,345
Cyber Law itakuwa sawa na sheria "Sharia" ya kiislam ya kukata wezi mikono iliyowahi kutungwa huko Sudan na serikali ya Al Bashir. Baada ya miaka michache ikaonekana karibu 3% ya wasudan wote ama hawana mikono yote miwili ama hawana mkono mmoja, ikabidi ifutwe mara moja.
Na hii Cyber Law ya Tanzania ikiishajaza wafungwa magerezani itafutwa tu mara moja kwa sababu ilipitishwa na bunge kwa hila na chuki.
Na hii Cyber Law ya Tanzania ikiishajaza wafungwa magerezani itafutwa tu mara moja kwa sababu ilipitishwa na bunge kwa hila na chuki.