Jose Mourinho anafanya mazungumzo na Manchester United!

TheDealer

JF-Expert Member
Nov 19, 2012
2,424
1,130
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Ujio wa Pep Guardiola ndani ya ligi ya EPL na 'mshangao mshangao' wa Louis Van Gaal unaonekana kuwalazimisha united kubadili mind set yao kuhusu aina ya soka lililoasisiwa na the Sir Alex Ferguson.

Hii ni kutokana na ukweli kuwa club tajiri, kongwe na kubwa ya Man U inafanya mazungumzo na kocha Jose Mou kwa ajili ya kuifundisha club ya Man United. Hii ni kazi murua ya 'Jorge Mendes'. Huyu jamaa mhuni sana huyu.

Jipekulie hapa mwenyewe

------------------------
Jose Mourinho in talks with Manchester United as Van Gaal set for sack - The Busby Babe
------------------------

-------------------
http://bleacherreport.com/articles/...-held-by-manchester-united-over-managers-role
-------------------
 
Aliyeboronga Chelsea anaenda man u bila shaka huu utakuwa ni utani au watu wanaamini kuwa kule alikuwa anafanyiwa fitina???????
 
Aliyeboronga Chelsea anaenda man u bila shaka huu utakuwa ni utani au watu wanaamini kuwa kule alikuwa anafanyiwa fitina???????

Mkuu chelsea hakuboronga ila ni figisu tu za wachezaji. . . jose bado ni kocha bora tu ktk dunia. . . . . kama kweli ngoja uone maajabu ya man u
 
Siku akitua man u ndio siku nahamia Leicester city, huu zaidi ya wehu mourinho si kocha

Sasa mwenye team akiamua wewe mshangiliaji utafanya nn?? Manake nyinyi Ni washangiliaji tu, Mashabiki wapo UK!
 
Hizo zote ni rumours za magazeti, ukienda official Man utd website hakuna taarifa kama hizo. Ila nampenda Jose, ningependa aje Man U. All in all LVG anapaswa kushinda game ya Stoke & Chelsea otherwise sijui kama watamvumilia!
 
kweli man u mtakua wanafki tu.,juzi tu akati anafukuzwa mlikua mnamponda leo hii mnafurahia awe kocha wenu?
 
Jose akienda Man itakuwa matusi makubwa sana.Kwanza sijawahi kuona Jose akinyanyua kipicha cha kinda na hii ndio brand ya Man tangu enzi na enzi.Niambieni tangu Jose wa enzi na enzi kakuza kipaji kipi zaidi ya kununua wachezaji waliokamilika.Pili siku zote Jose mpira wake si wa kushambulia bali kulinda zaidi na zaidi sasa ile sifa ya mpira wa raha wa kushambulia itazikwa rasmi.
 
Bora kumrudisha Moyes kuliko Mourinho. Ni kocha mzuri lakini mhuni asiye na hadhi ya kuwa kocha/manager wa Man U
 
Bora kumrudisha Moyes kuliko Mourinho. Ni kocha mzuri lakini mhuni asiye na hadhi ya kuwa kocha/manager wa Man U

Naungana nawe mkuu, kama moyes angepewa pesa na muda kama LVG angefanya mazuri sana, lakini sio mourinho kabisa
 
Jose akienda Man itakuwa matusi makubwa sana.Kwanza sijawahi kuona Jose akinyanyua kipicha cha kinda na hii ndio brand ya Man tangu enzi na enzi.Niambieni tangu Jose wa enzi na enzi kakuza kipaji kipi zaidi ya kununua wachezaji waliokamilika.Pili siku zote Jose mpira wake si wa kushambulia bali kulinda zaidi na zaidi sasa ile sifa ya mpira wa raha wa kushambulia itazikwa rasmi.

mario balottel
 
Back
Top Bottom