Habari wakuu
Nimeona watu wengi wakifanya biasha ya pombe
Naomba kuuliza huvi mtaji wa kufungua min store ya pombe bei gan!! (Kama duka la kuuzia pombe).
Habari
kuna suala nimeskia watu wanasema chumvi ya mawe kwa wanawake walio jifinguaa ina matumizi mengi sana.
Je, hivi chumvi ina kazi gani tena maana nasikia ni dili?
Asanteni
Habrini za asubuhi wadau!
Jana niliendaa Kariako kununua zile mbomba za kuweke pazia, sasa niliendaa kwenye mitaa ya vyombo vya chakula (kwa jinaa sijui ila ndo mtaa maarufu kwa vitu kama hvyoo))
Nilifika hapo nikakutaa jamaa kaweza zile bomba nyingi nying kwenye nguzo za umeme!
Sasa nikasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.