Funzo kwa wanaonunua vitu barabarani Kariakoo na kutodai risiti

DVC

JF-Expert Member
Jan 11, 2019
219
213
Habrini za asubuhi wadau!

Jana niliendaa Kariako kununua zile mbomba za kuweke pazia, sasa niliendaa kwenye mitaa ya vyombo vya chakula (kwa jinaa sijui ila ndo mtaa maarufu kwa vitu kama hvyoo))

Nilifika hapo nikakutaa jamaa kaweza zile bomba nyingi nying kwenye nguzo za umeme!

Sasa nikasema ngojaa nimuunge maana sio mbayaa nikanunua bomba kama 7 (2.5 m) hv na kila mojaa ni 9000 basi nikaanza safari sasa ya kwende nyumba.

Nilipo fika home kufungua bomba la kwanzaa ni zile fupi zimeunganishaa. Kwa kwel nimechokaa sana tena sana.

Kwa kwel Mungu ni Mungu nilikuwa nimekadiria urefu nikakutaa zile bombaa ni ndefu sanaa. Sasa zile viungo vidogo ilibidi nitoe ndio zikawa sawa na madirishaa.

Funzo usinunue kitu barabarani kariakoo nenda dukani kabisa pia penda kudai risiti. Fanya hv utakuja kunishukuru!
 
Moja umeuziwa 9000? Mungu wangu! Kariakoo zinauzwa 4000
 
Ndio hivyo aisee.
Ndio maana mi naonaga ni bora nisijichoshe kwenda hadi huko masokoni kununua vitu ilhali maduka ya karibu vipo. Unaweza kuta mitaa anayoishi mtoa mada hizo bidhaa zipo ila tu amehisi labda kariakoo atapata kwa bei rahisi zaidi matokeo yake ndio hayo sasa KUPIGWA.

Ila katupa funzo zuri ni vyema kudai risiti.
 
mkuu umepigwa kuanzia bei mpaka urefuuu

pia kingine angalieni expire date hasa wanaotembeza vitu vya kula kula hivi
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom