I am addicted to sex

Mara nyingi wanawake waliolazimishwa/ingiliwa kwa nguvu wakati wa utotoni na Wanaume wazima ndo huwa na hayo matatizo, huwa wanakuwa high sex drive, lkn inatibika ni trauma, tafuta clinical psychologist atakusaidia, uwe mkweli na historia ya maisha yako.

Nilishawahi kuwa na demu kama hiyo, baada ya kuona kwamba alikuwa na high sex drive klk kawaida nikaanza kuongea naye pole pole aliponiamini akafunguka na kuniambia kilichomtokea utotoni, inasikitisha sana.
Asante Sana mtaalamu,hata mimi nimejifunza kitu.Sasa mkuu vipi kwa sisi Wanaume ambao dude Unakuta inahitaji muda wote/Mara kwa mara.
 
Kwa hali ya kawaida mwanamke akifika climax mara 2 au 3 kwa siku huwa hatamani sex kwa siku 7 au zaidi .
 
Sijui ni tatizo, sijui ni kawaida, sijui naendekeza sijuiii....zamani nilihisi tu mambo ya u-teenager wala sikuona kama ni ishu, baadae nikahisi pia labda ujana tu ugali wa bure unakimbilia chini, kula kulala kunanizidishia hamu majukumu yakija nyegezi zitayeyuka, ila sasa naanza kushtuka na kuona sio kawaida baada ya kujiona nazeeka na hamu zangu.

Nimeshajaribu kujijengea hobbies na vitu vingine naona holaaa, kidogo social media zimenisaidi nimeimprove kiasi naweza pitisha wiki, kwakweli wiki ni improvement kubwa kwangu yani wiki without kwichii kwichii kwichiii ooh hallelujah. Niwe na furaha, huzuni, raha karaha kazi ni moja tu....koh koh

Muda wangu mwingi nawaza na kuutumia kwenye dudu la yuyu, nikipanga kufanya ishu muhimu ntajivutaaa weee najizungusha weee ila kwenye hii kitu sipotezi hata sekunde, sijarogwa kweli? Nahitaji kubadilika niwe busy na mambo mengine, nifanye nini?

Mtakaonisema, nidhihaki na mengineyo namwachia alie juu.

Alamsik....
Me too,
Yaan tungefaana Sana mi na wewe
 
Watu wote wapo hivyo sema wanatesa miili yao na hisia zao kwa kujibana ila ukweli hii kitu inahitajika sana kila muda
 
Aleluya !! Mungu anapenda , alikupa nguvu za kutosha ili ushiriki katika kazi ya uumbaji . Enendeni mkaijaze dunia . Ila mme / mke wa mtu na wanafunzi ni sumu . Chapa mwendo ila usipotezee mda mwingi katika hiyo kazi una mambo mengine katika maisha .

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Sijui ni tatizo, sijui ni kawaida, sijui naendekeza sijuiii....zamani nilihisi tu mambo ya u-teenager wala sikuona kama ni ishu, baadae nikahisi pia labda ujana tu ugali wa bure unakimbilia chini, kula kulala kunanizidishia hamu majukumu yakija nyegezi zitayeyuka, ila sasa naanza kushtuka na kuona sio kawaida baada ya kujiona nazeeka na hamu zangu.

Nimeshajaribu kujijengea hobbies na vitu vingine naona holaaa, kidogo social media zimenisaidi nimeimprove kiasi naweza pitisha wiki, kwakweli wiki ni improvement kubwa kwangu yani wiki without kwichii kwichii kwichiii ooh hallelujah. Niwe na furaha, huzuni, raha karaha kazi ni moja tu....koh koh

Muda wangu mwingi nawaza na kuutumia kwenye dudu la yuyu, nikipanga kufanya ishu muhimu ntajivutaaa weee najizungusha weee ila kwenye hii kitu sipotezi hata sekunde, sijarogwa kweli? Nahitaji kubadilika niwe busy na mambo mengine, nifanye nini?

Mtakaonisema, nidhihaki na mengineyo namwachia alie juu.

Alamsik....
Hebu njoo ujarib fanya nami ndo tutajua ka umerogwa au la
 
......hii hali inanisumbua mimi wakati huu,imefikia hatua naambiwa week-end mpaka week-end.
 
Back
Top Bottom