Recent content by dutch2

  1. D

    Huyu dada kanibaka naombeni ushauri hatua gani za kisheria nichukue

    mwalimu kabakwa na x girlfriend wake[emoji28][emoji28][emoji28][emoji16]
  2. D

    Polisi, ikitokea nimeokota kifaa cha kiaskari au bunduki nifanyeje ili nisihusishwe nacho?

    tatizo kwa system zetu ukiwa mkweli inaweza kukupomza chukua mfuko kidumbukize ndani. kirushe karibia na kituo cha police chochote ikibidi uweke kimemo kuwa police kakisahau ndani ya gari yako over
  3. D

    Wiki ya 41 sasa mtoto hajazaliwa

    hospital nako kuna majanga yake isije ikawa ulikutana na Dr mwenye stress zake akakujibu simple tafuteni 2nd opinion
  4. D

    Mafuriko ya wachaga moshi...baba jesca shikamoo

    mshamba ni wew kazi kuzurura kwa watu na hela huna hata yakupanda ndege ndo nyie mnaoogopa kulogwa ndo maana hamuendi kwenu eeeh wenzako wako kwao waache
  5. D

    Tupeane Taarifa benki zinazosuasua ili tutoe fedha zetu kabla hazijatangazwa mfilisi

    hata crdb msiitrust kiivo nasikia wao pia hali c shwari
  6. D

    Tundu Lissu kwenda nchini Ubelgiji kwa matibabu zaidi

    mungu awe nae mashetani endeleeni kujiuliza tu
  7. D

    Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

    FBI/CIA kwa hapa kwetu ni nini
  8. D

    Nimepata mshtuko mkubwa Ubungo Bus Terminal leo alfajiri!

    yani kituo cha daladala cha mawasiliano kina international standards everything is just perfect hata wakora hamna iyo bullshit ya ubungo terminal cjui kwanini wasiifanye soko la ndizi na kuku ndo maana campany kubwa kama kilimanjaro wameanzisha office zao wenyew
  9. D

    Benki Kuu (BoT) yazifutia leseni benki kadhaa. Zimo Efatha Bank na Covenant Bank

    kwani hao ni wastaafu hadi wanyimwe hela zao?
  10. D

    Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

    sasa mbona mkoa wenu upo kwenye least ya umaskini Tz?
  11. D

    Most expensive schools in Tanzania

    dreams are valid ila usipojiongeza kweli ataenda kayumba
Back
Top Bottom