Huyu dada kanibaka naombeni ushauri hatua gani za kisheria nichukue

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,145
11,176
Huyu dada nilishawahi kuachana nae kama miezi sita hivi iliyopita kwa sababu ya ubabe wa kijinga jinga , kila siku mi nlikuwa mtu wa kula vipigo tu mwanamke alikuwa anapiga kama Rambo, asione mwanamke kanipigia sim ugomvi hapo hapo utaanza

Ikabidi niachane nae tu tena kwa kumkimbia nikahamia sehem nyingine kimya kimya sasa leo mida ya saa tano asubuhi nilisikia kuna mtu anagonga mlango wa chumba changu ikanibidi nifungue kujua ni nani, mara gafla nikamuona ni yeye

Kwa kweli nilishtuka kwani sikujua ni nani aliyemuelekeza ile sehem nnayoishi kwani nilifanya iwe siri kubwa ili tusije sumbuana badae. Kabla sijamruhusu aingie ndani akausukuma mlango kwa nguvu kisha akanisukumiza hadi kitandani kisha akaufunga ule mlango kwa ufunguo

Baada ya kuufunga mlango akatoa kwenye pochi kisu kisha akanitishia kuwa nikipiga kelele tu nijiandae kufa, akaniambia kuwa lazima nimle mzigo kwa lazima ili kuokoa uhai wangu

Kiukweli wakuu nilimla mzigo kwa mbinde mbinde lakini mi nahisi kanibaka huyu kurumbembe hivyo nahitaji msaada wa kisheria nimfungulie mashtaka ya ubakaji

Nawasilisha kwa huzuni
 
Mkuu sikudii kukutusi.
Unapoandika unawaza mara mbilimbili kabla hujatuma mabandiko yako?

Sasa mwanaume anawezaje kuifanya mashine isimame kwa kuogopa kitu?
Au tuseme umebakwa ule mlango mdogo wa nyuma kwa kutumia hilo rungu la mdada?

rungu gani linakaa kwenye pochi ya mwanamke? Au ni dildo la mti ndio umebakwa nalo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom