Huelewi ulichokiandikaWachaga tumeweweza sio kwa mapovu haya
Sio kwenda kwao, ni kurudi kwao kukaa.Wachaga kwenda kwao mwisho Wa mwaka wameanza mwaka huu? Mijitu mingine bwana!!?
umeona eWachaga tumeweweza sio kwa mapovu haya
ushamba ni ww kuwepo hapo Moshi kwa huo wakati at least katoe salam kijijini kwenuNiko hapa Moshi stendi, ni fujo tupu. Abiria ni wengi balaa! gari hakuna, December ilikuwa ni taabu pale Ubungo stendi, January balaa limehamia huku. Ninyi wachaga mtaacha lini tabia yenu hii iliyopitwa na wakati?? Maana mnatutaabisha na wengine tusiohusika na ma-mitambiko yenu ya kila mwisho wa mwaka.
Badilikeni bhana mkijua hii ni karne ya 21.