Hata me nilianza mambo hayo baada ya kuoa! Mwanzoni Mwanamke akiwa bado mgeni alinizingua kitandani kwa kunishika mboo akawa anaisugua kwenye mapaja yake, sikuona raha ya kuishi na Mke. Nilipata wazo la kumfukuza ila nikamshirikisha Dingi kwanza. Bahati nzuri Mzee alibaini kuwa nilikuwa sijui...
Wewe Jamaa, Wakati mwingine misimamo yako huwaga siielewi vizuri! Viongozi wa Tanzania wamezingua, unashukuru Wazungu kutaka kuiwekea Nchi vikwazo. Bila kujali tutakaoumia ni sisi Wananchi wenye maisha ya chini! Nina imani Wazungu wangekuwa wameweka vikwazo kwa Viongozi Wakorofi na...
Barongo alisha farik?i!! Huyu Jamaa nasikia alisha wahi kuwa Afisa Utamaduni hapo Musoma.Mke wake mdogo alimchukua kwa Mzee Mbogola mtaa wa Shomolo upande wa kulia ukitoka Mjini kuelekea Nyasho.
We Jamaa mbishi sana tayari umesha vamia huku kuleta ubishi wako! Toa ushahidi wako hapa. ukiacha mambo ya rocket kutopaa vertical ni lini uliona vimondo vinadondoka kutoka angani kwa njia ya Vertical?!
kuna swali ambalo halijawahi jibiwa na flat disc Earthers! Eti ni kwanini Watu watatu wakisimama sehemu za karibu na Antarctic 1.asimame Chile 2.asimame Australia na wa 3 asimame South Africa! Je ni kwanini wote wakitazama juu angani wataona kundi la nyota aina moja,ikiwa Antarctic ndiyo...
Kama Mungu kusudio lake ilikuwa kuwazuia Watu wa Babeli wasifike hapo juu kwenye Dome, kwa mujibu wa flat Earthers alikuwa kachemka! Kwa maelezo ya flat Earthers hiyo Dome inaanzia kule Antarctic ikianzia chini aridhini ambako Watu wengi wanaweza kuifikia. Eti ndio maana Wanasayansi wakaweka...
Asee mimi niko nasubiri mpaka siku flat Earthers wenzako Watakapo anza project ya ujenzi wa Minara mirefu ili wakimaliza tu na wao wawe wanajitundika juu na Camera zao! Watupatie Videos halisi za hiyo flat disc earth na siyo hizi CGI ulizo post humu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.