Dusabimana
JF-Expert Member
- Oct 24, 2019
- 278
- 248
kuna swali ambalo halijawahi jibiwa na flat disc Earthers! Eti ni kwanini Watu watatu wakisimama sehemu za karibu na Antarctic 1.asimame Chile 2.asimame Australia na wa 3 asimame South Africa! Je ni kwanini wote wakitazama juu angani wataona kundi la nyota aina moja,ikiwa Antarctic ndiyo ukingoni mwa Dunia kama ilivyo kwenye picha zenu za flat disc Earth zinazo onesha Kila Nchi imekaa mbali na nyingine ila zote zikikaribiana na ukingo wa Antarctic Kila moja kwa upande ilipo?!Wanajua kila kitu ,wanachokifanya ni watu wasijue kwa uwongo wao ili kumfuta MUNGU kwenye vichwa vya watu ,maana watu wakijua uwepo wa dome wataamini maandiko na uumbaji na sio tumetokea kwa nyani na mlipuko usio na chanzo,zote hizi ni njama za shetani kupeleka watu motoni pamoja na yeye PERIOD.
Sent using Jamii Forums mobile app