The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Siku mkija shtuka mtakuwa late sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Asee mimi niko nasubiri mpaka siku flat Earthers wenzako Watakapo anza project ya ujenzi wa Minara mirefu ili wakimaliza tu na wao wawe wanajitundika juu na Camera zao! Watupatie Videos halisi za hiyo flat disc earth na siyo hizi CGI ulizo post humu!
 
Kama Mungu kusudio lake ilikuwa kuwazuia Watu wa Babeli wasifike hapo juu kwenye Dome, kwa mujibu wa flat Earthers alikuwa kachemka! Kwa maelezo ya flat Earthers hiyo Dome inaanzia kule Antarctic ikianzia chini aridhini ambako Watu wengi wanaweza kuifikia. Eti ndio maana Wanasayansi wakaweka zuio la kwenda huko!
 
Na huo ni ukweli mchungu ambao wanasayansi hawataki kusikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia nzima ni flat earthers wanao kuwa indoctrinated
Asee mimi niko nasubiri mpaka siku flat Earthers wenzako Watakapo anza project ya ujenzi wa Minara mirefu ili wakimaliza tu na wao wawe wanajitundika juu na Camera zao! Watupatie Videos halisi za hiyo flat disc earth na siyo hizi CGI ulizo post humu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unaona mbali ila hizi sayansi za anga zimewakamata sijui tatizo ni upeo mdogo
mwanzo 11 mastar wa 4
usitake kuniambien wajenz wa babel tower ni wajinga kiasi icho kwamba tujenge mnara ufiki mbinguni ambapo ni juu sasa kama dunia ni duara hakuna sasa juu wapi ','lakin ukiniambia walitaka waifikie ile dome wavunje waingine mbinguni kitu kina tiki na kina sound sana.
~ turudi kwenye uduara project zinazo endelea dunian na NCHI ni tofauti tofauti kuhus mamb ya space ukisema wote ni wapotoshaji iyo ni ngumu kumeza...,','
~KATIKA vitabu ambavo vinasifika kiwa na content ya maaana ni kitabu cha mwanzo
~study questions
Je tuseme hatujui kutafsiri maandiko?
Je tuseme andiko hilo haliko sahii bali wanaspace ndio wako sahihi
je wajenz wa babel walikuwa ni wajinga ivo? au kuna kitu walikuwa wana mambo yao ambayo ni tofauti na andiko'" kimbuka mungu ndie aloe stopisha ile activity

karibun

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan USSR na USA walivyokuwa na bifu kubwa kiasi kile eti waungane, labda hujasoma historia ndo wasema hivyo mkuu.

Pata na muda wa kusoma hiyo vita baridi hicho kipindi cha 1945-1991

Kila mmoja alikuwa anapambana amshinde mwenzie kiteknolojia, wewe unasema waliungana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia inaongozwa na wahuni fulani hivi wachache ambako hao USA na ussr ni puppets tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
means hata NASA hawako free kwenda kwenye dome???
Wanajua kila kitu ,wanachokifanya ni watu wasijue kwa uwongo wao ili kumfuta MUNGU kwenye vichwa vya watu ,maana watu wakijua uwepo wa dome wataamini maandiko na uumbaji na sio tumetokea kwa nyani na mlipuko usio na chanzo,zote hizi ni njama za shetani kupeleka watu motoni pamoja na yeye PERIOD.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom