Recent content by Durubai

  1. D

    Edson Mabele wa kipindi cha Wallpaper - Star Tv

    Ha ha haaaaaa kumbe wengi wanaona hilo...
  2. D

    Uwepo wa Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa bila Mwenyekiti,nini maana yake.???

    Ozzie,,kwa kawaida AU yaani African Union kwa lugha ya kigeni na kwa kiswahili ni Umoja wa Afrika una Mwenyekiti wake,kwa sasa Mwenyekiti ni DENIS SASSOU - NGUESSO,lengo lao kuu ni kuunganisha nguvu Mataifa wanachama ili kuweza kutatua matatizo yao mfano,vita,magonjwa,njaa nk..Na huu ni umoja wa...
  3. D

    Uwepo wa Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa bila Mwenyekiti,nini maana yake.???

    MLOMGENI,nami pia ni mmoja ya wanaojiuliza juu ya hilo bt cjapata zaidi kile nilichokitarajia,ngoja tusubiri labda ufafanuzi wa kina utatolewa..
  4. D

    Uwepo wa Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa bila Mwenyekiti,nini maana yake.???

    Ina maana swala la kuwepo au kutokuwepo kwa Mwenyekiti ni uamuzi na siyo formula??,
  5. D

    Uwepo wa Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa bila Mwenyekiti,nini maana yake.???

    Ni vema kuuliza kwa lengo la kufahamu,kwani tuna tofautiana uelewa wa mambo,katika hili naomba kujuzwa juu ya uwepo wa mtu kwa nafasi hiyo kwa UN bila Mwenyekiti,inanipa shida kidogo coz kwa hali halisi inakuwa tofauti kidogo katika nyanja tofauti tofauti kwa status hizo.,mwenye uelewa juu ya...
  6. D

    Tujikumbushe Nyimbo kali za Bongo Fleva Zilizotamba zamani

    Sina demu by B boy ..Ni sumu sana hiyo ngoma
  7. D

    Msaada: Wimbo wa HOSANNA wa Cosmas Chidumule

    Please,mwenye misuli ya imani ya Ambwene mwisongwe anisaidie jamani
  8. D

    Angalia Nafasi mpya ya Kazi CRDB Bank

    Mimi napita tuuuu
  9. D

    Nafasi za kazi migration

    Duh,msiwe watu wa ku ignore kila andiko guys,mbona alama ya kuuliza iko mwisho wa sentensi yake jamani,unajua kama huna cha kusema siyo lazima uchangie,unaweza pita kimya kimya tu bt kama unajua ni vema kuelekeza,tuwe waelewa na wastaarabu ktk hili.,people are serious bt nyie wachache mnaleta...
  10. D

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr slaa
  11. D

    CRDB Kijitonyama mnaboa bhana

    Dah Jf raha sana,kwani huu ni mtambo wa kurekebisha tabia,penye baya tutasema lengo ni kujenga na cyo kubomoa,wanatakiwa waangalie simbanking zinavyokuja kwa kasi na ufanisi mkubwa kila kukicha wao wanalala,wengine tunasave visenti tukiona kero tutaanzaa kuviweka kwenye cm tu kama airtel...
  12. D

    CRDB Kijitonyama mnaboa bhana

    Dah kweli kabisa yaan,ukiwaambia watakuambia unawafundisha kazi bt haiko poa na inabidi wajirekebishe kwa kweli.
  13. D

    CRDB Kijitonyama mnaboa bhana

    Yaan hapa teller za kuweka na kutoa ziko nne bt zinazofanya kazi ni mbili tuu,hizo mbili zingine wanajua wenyewe wanachokifanya ,ukweli watu ni wengi na foleni ni kubwa ukizingatia waanatumia mfumo wa tiketi,kwa hyo hadi tiketi namba yamba iitwe mmmh ushabunda sana,anghalieni bhana watu wana...
  14. D

    Umewahi Kuchunguza kwanini Nyoka hamdhuru Mtoto!?

    Ilikuwa Masasi ,na nilikuwa naenda kijijini kwa baba almost kama km 5 toka Mjini na ilikuwa time ya saa tatu hv am @ Sheba,na hilo eneo linaitwa Chiwisi umbali kama wa mita 150 kufika centre ya kijiji kimoja kinaitwa Sautimoja kabla ya kufika huko nilikokuwa naelekea..Thts t.
Back
Top Bottom