Recent content by Dunamist

  1. Dunamist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Robert Amsterdam na Sheikh Ponda ndio watakaomuangusha Lissu

    Usingemalizia kama Mataga wengine na magu 5 tena, ningetafuta point kwenye ulichoandika. Ila mimi ni mkristo na nitampigia Lissu kura. Hao diaspora unaowasema hawapigi kura.
  2. Dunamist

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa BAKWATA na Sheikh Ponda, Waislamu tumeshajua nani wa kumfuata

    Hivi huyu shekhe wa DAR si ndo alisema kubet ni sawa kwa Waislamu???
  3. Dunamist

    JamiiForums Tanzania Msaada: Alarm ya gari yangu inalia non stop (bila kuacha)

    Shukrani boss, engine light haiwaki. Unapatikana wapi mkuu?
  4. Dunamist

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali isipige marufuku Kitchen Party?

    Daaahh! Ila jeiefu😀😀😀😀😀
  5. Dunamist

    JamiiForums Tanzania Msaada: Alarm ya gari yangu inalia non stop (bila kuacha)

    Thanks, Nmefanya hivyo. Ila bado mkuu...
  6. Dunamist

    JamiiForums Tanzania Msaada: Alarm ya gari yangu inalia non stop (bila kuacha)

    Msaada wakuu Gari inapiga alarm kama kuna mlango uko wazi. Ila milango yote imefungwa. Nikiiwasha kwenye dash body inaonesha mlango uko wazi. Nikiwasha taa hiyo alama kwenye dashboard inatoka.
  7. Dunamist

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Msaada wakuu Gari inapiga alarm kama kuna mlango uko wazi. Ila milango yote imefungwa. Nikiiwasha kwenye dash body inaonesha mlango uko wazi. Nikiwasha taa hiyo alama kwenye dashboard inatoka
  8. Dunamist

    JamiiForums Tanzania Countries with the most beautiful women in the world

    Hiyo frame ya kwanza ya Jamaica bado naiangalia hapa sijajua nikikutwa nitaeleza nini ila kikubwa uzima
  9. Dunamist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Membe unagombea Ubunge au Urais wa Jamhuri?

    Natamani ningekuwa msanii wa sanaa ya silaha Ningekuwa nalipua tu mibomu ka Osama Kleptomaniax walikuwaga onfire sana those days
  10. Dunamist

    JamiiForums Tanzania CCM yapokea kwa mshtuko taarifa ya ajali mbaya ya Wasanii Belle 9 na Bonge la Nyau, yawatakia uponyaji wa haraka!

    Ajali mbaya za awamu hii ya CCM haziwezi kumuacha mtu salama. Watuambie hiyo ajali mbaya iliyowasalimisha wameipataje???
  11. Dunamist

    JamiiForums Tanzania Israel yapiga inapotaka haimuogopi mtu na hakuna anayewalaumu

    Picha ziko wapi sasa??
  12. Dunamist

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wapi nitafanya wheel alignment kwa uhakika?

    Unaweza itaja hiyo garage mkuu?
  13. Dunamist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu aache kuzungumzia masuala ya kupigwa risasi kila Mkutano

    Eeeeehh bwana eeeeeehhh Kumbe mtukufu ashawahi kugida sumu??
  14. Dunamist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu aache kuzungumzia masuala ya kupigwa risasi kila Mkutano

    Wengine tulimjua Mandela kwa sababu alifungwa jela na makaburu. Kuna ubaya TL akieleza ukaburu aliofanyiwa na watu wasiojulikana? Binafsi natamani hata kwenye bango la kampeni kuwe na alama za majeraha ya risasi... na picha ya watu wasiojulikana
  15. Dunamist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nimeshindwa kuwachangia makamanda, niliitupa line ya Voda

    Unaweza kupanga hoja vizuri, sema umechagua UHUNI
Back
Top Bottom