Msaada: Alarm ya gari yangu inalia non stop (bila kuacha)

Dunamist

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
474
682
Msaada wakuu

Gari inapiga alarm kama kuna mlango uko wazi. Ila milango yote imefungwa. Nikiiwasha kwenye dash body inaonesha mlango uko wazi. Nikiwasha taa hiyo alama kwenye dashboard inatoka.
 
Yangu ikilia hivyo mara nyingi inakuwa betri inaelekea kufa au terminal ziko lose, au ishu yoyote inahusiana na umeme...fanya utafiti
 
Msaada wakuu

Gari inapiga alarm kama kuna mlango uko wazi. Ila milango yote imefungwa. Nikiiwasha kwenye dash body inaonesha mlango uko wazi. Nikiwasha taa hiyo alama kwenye dashboard inatoka.
Angalia kama engine light inawaka, kama inawaka peleka kwa fundi akafanye computer diagnosis kama haiwaki peleka kwa fundi umeme wa magari akague fuses na kufatilia wiring ya mlango unaoonesha haujafungwa pamoja na connectors zake.

Kwa msaada zaidi waweza nitafuta.
 
Shukrani boss, engine light haiwaki.

Unapatikana wapi mkuu?
 
Shukrani boss, engine light haiwaki.

Unapatikana wapi mkuu?
Basi peleka kwa fundi umeme wa magari aangalie wiring za huo mlango unaoonesha uko wazi wakati umefungwa. Ila kama utapata pia mtu wa diagnosis itakua vyema coz matatizo baadhi ya Body (kama hilo lako) huwa hayawashi check engine ila technician akiscan anaweza pata ufumbuzi tatizo liko wapi. Pia Haujasema ni gari aina gani coz kuna baadhi ya models hilo tatizo ni la mara kwa mara na solution zake zinajulikana
 
Mambo vipi mkali wa Linux.
Nafikiria kuweka kimojawapo kati ya Security Alarm au Car Tracking system.
Unanishauri niweke kipi.
Gari yangu ni babywoka
 
Kikubwa kulinda gari lako ni ku-park gari mahali salama,alarm siyo za kutegemea,wezi wa magari huwa wanakujaga na vifaa vya kui jam hyo system na kuiba gari au vilivyomo.In South Africa at least sensors zinasaidia kuzuia-sababu kwenye Car parking kubwa wanaweka sensor kwa ajili ya kudetect wezi wanapoanza ku-activate system zao hvyo sensor zina detect hcho kifaa na kupiga alarm,ila kwa bongo sidhan kama zipo
 
Back
Top Bottom