Msaada: Wapi nitafanya wheel alignment kwa uhakika?

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
13,142
27,105
Wakuu hii gari nimeenda nayo mkoani, muda wa kurudi ikaanza kuvuta upande wa kushoto.

Last week kuna garage nilipeleka nikakutana na fundi mbabaishaji sijapata ona, kifupi ni kwamba tatizo halijaisha.

Naomben mnielekeze nipeleke wapi ambako kuna mafundi wa uhakika.

NB: Nipo Dar na aina ya gari ni Subaru Impreza!
 
Kama uko mitaa ya Tegeta nikuelekeze garage ya kisasa napofanyia mimi service zangu
 
Kama uko mitaa ya Tegeta nikuelekeze garage ya kisasa napofanyia mimi service zangu

Kaka una maoni gani kuhusu passo ya piston 3 au piston 4. Gari gani hapo inafaa kwa mizunguko ya hapa mjini
 
Kabla hujafika hapo Victoria ukiwa unaenda Morroco kuna sheli ya oil com mkono wa kushoto hapo utapata hiyo huduma bila shida yoyote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom