Recent content by dumila

  1. D

    Mkopo mrefu kwa muda wa miaka 10

    Mawazo mazuri sana..mwajiri ni serikali..ajira ya kudumu..nimepita shm nyingi hawana shida na proposal yangu..issue ni huu uhakiki..wanataka uhakiki uishe ndio nende ila sio kipindi hiki cha uhakiki wanahisi nataka kutimua mbio[emoji12]
  2. D

    Mkopo mrefu kwa muda wa miaka 10

    Habari wanajukwaa? nina shida na matatizo makubwa sana yananikabili.l ya kifamilia na kijamii. Nina hitaji mkopo wa mil 23-25 kwa mtu yoyote au kampuni yoyote kwa makato ya kila mwezi kwa muda wa miaka 10 either makato ya moja kwa moja toka kwa mwajiri au kwa bank standing order ya kila...
  3. D

    Masoud Kipanya Uhuru Umezidi Mipaka

    hahahaha..nimependa hiyo katuni
  4. D

    Mwigulu: Ole wao CHADEMA, Tutaubomoa UKUTA

    tena usijaribu utaaibishwa vibaya san
  5. D

    Mwigulu: Ole wao CHADEMA, Tutaubomoa UKUTA

    wanajiamini as if wao ndio wanajua kipiga kuliko wengine...kuna wataaalam wa kupiga wapo nje hasa waliotolewa polisi kwa vyeti fake..mtadeal nao tu
  6. D

    Kumekucha kwa wanaopuuzia kulipa mikopo ya elimu

    hao wenyewe wanazingua..wengine tumeshawaandikia barua waanze kutukata pamoja na kupeleka majina kwa mwajiri
  7. D

    MWANZA: Askari Polisi auawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali shingoni

    kweli kabisa..polisi hawa nao ni shida..askari sio kabisa..sina urafiki nao sina undungu nao kwa askari asiyekuwa ndugu yangu. inawezekana shida sio lap top..nje ya box kuna jambo
  8. D

    Apata upofu baada ya kumeza dawa aina ya Fansidar

    MKAZI WA MLANDIZI KIBAHA PWANI APATA UPOFU BAADA YA KUMEZA DAWA AINA YA FANSIDER AOMBA MSAADA ML.18 MKAZI mmoja ajulikanaye kwa jina la Seleman Mgoto (42) anayeishi katika kitongoji cha Janga kilichopo eneo la Mlandizi Wilayani Kibaha Mkoa wa Pwani ameathirika macho yake mawili na kupoteza...
  9. D

    Looking for gentleman

    duh..watu wanatiririka balaaaaaaa Sent from my GT-I9082 using JamiiForums mobile app
  10. D

    Zuio la Safari Nje: Nani Kamruhusu Kitwanga kwenda Israel Bunge Likiendelea?

    https://www.jamiiforums.com/indexxx.php?posts/16483541
  11. D

    Dk. Tizeba, utaweza kufanya kazi na Magufuli aliyekufukuza pale Mwanza City Council!?

    napumulia machine baada ya kusoma comments zote! sasa hao wanaompongzeza mwigulu kwa kauli za usiye mpenda kaja sijui wanamaanisha nini! napumilia machine...nikipata ahueni nitarudi[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Back
Top Bottom