Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,432
- 73,078
Leo magazetini serekali imesisitiza kibano cha safari za nje kiko palepale kwa watumishi wa umma.
Lakini Mbunge wa Misungwi ambaye alikuwa Waziri wa mambo ya ndani haonekani Bungeni na habari zinasema yuko Israel kwa safari binafsi.
Nani kamruhusu wakati huu ambapo vikao vya Bunge vinaendelea?
Au mtumishi akiwa rafiki wa karibu wa mkulu hahusiki na kuomba kibali kwenda nje?