Recent content by dumelanyago

  1. D

    Nahisi hili jitu linachukua msichana wangu

    Ushauri wangu usikurupuke kumuoa coz kama wanamahusiano ukimuoa ni sumu kubwa mana ndoa haifuti uchumba hata siku moja Jambo la pili usije ukachukua uamuzi wa kumuacha kama haujathibisha kama anamahusiano naye mana waweza kuwa ww ndo msaliti ila hitimisho ni kumpangia chumba kabla sehemu...
  2. D

    Makonda kupelekwa Ethiopia

    Eti leo ndiyo ile siku ya wajinga????
  3. D

    Mbunge wa kuteuliwa anaweza akaapishwa sehemu tofauti na bunge?

    1.Hvi mbunge wa kuteuliwa anaweza akaapishwa sehemu tofauti na bunge ikiwa kipindi cha uteuzi wake bunge halipo kazini. 2. Pia kama sikosei ninafahamu mtu hawezi kuwa waziri kama siyo mbunge naomba ukweli wa hili. 3. Je mbunge wa kuteuliwa anaweza kuapishwa uwaziri kabla ya kuapishwa ubunge?
  4. D

    Tumbo kuunguruma, nini tatizo

    Ahsante hii inawezekana mana huwa naona uvivu kula mpaka nikajihisi nna minyoo, itabidi nifanye hivyo na niwe najilazimisha kula japo huwa sipati hamu ya kula hata njaa inapouma but kama ndio sababu itanibidi nijilazimishe huku nikiendelea na hyo dawa
  5. D

    Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

    Uhakika ni kwamba uvaaji wa chupi ndo huchangia hiyo kitu mm binafsi yangu ilikuwa impepinda nilipoingia form five mwaka 2007 niliacha kabasa kuvaa chupi nikawa navaa bucta tu, sasa HV hakuna uelekeo wowote wa kupinda yaani inasimama sawasawa na kiukweli mpaka leo siwezi kuvaa chupi mana huwa...
  6. D

    Matumizi ya kokwa za embe kubana uke

    Pouwa usijari nimekuelewa
  7. D

    Tumbo kuunguruma, nini tatizo

    Ila tumbo halijawahi kuuma
  8. D

    Tumbo kuunguruma, nini tatizo

    Bado sijakuelewa ndugu, please kama unaweza kunidadavulia kidogo kuhusu hiyo soda water?
  9. D

    Matumizi ya kokwa za embe kubana uke

    Hahaha kwani ww kulilegea kote kuwili
  10. D

    Tumbo kuunguruma, nini tatizo

    Habari zenu ndugu zangu: Naombeni msaada wenu juu ya hili swala, ni kwa muda mrefu tumbo huwa linaunguruma haswa wakati wa usiku kukiwa na baridi, lakini pia nimejigundua kila ninapomaliza kufanya tendo la ndoa tumbo huunguruma sana, hata ikiwa mchan na kama nikifanya usiku ndo kabisa mpaka mm...
  11. D

    Mange Kimambi ni Raia wa Tanzania au ashachukua uraia wa Marekani?

    Ila aliyeanzisha hii thread kwa kuyambua au kutokutambua nia yake ni kusaidia wanaomtafuta kupewa data kamili, no jukumu letu kutoa ushirikiano kama tunaoutoa sasa HV kama mtu ana nia sawa na hyo na kukaa kimya kama hautaki kutoa ushirikiano. Huo ni mtazamo wangu juu ya hii mada
  12. D

    Nape, usipolichukulia MwanaHALISI hatua utakuwa una chuki binafsi

    Kwa hiyo ww kama mwanaume ukajitangaza ni mwanamke unataka gazeti likuriport kama mwanamke, gazeti litaandika uhalisia wako kuwa mwanaume then litasema unataka uhalisia wa kike, usilazimishe vyombo vya jabari vitudanganye eti kisa ww umedanganya ila ikitokea ikathibitika kuwa wao ndio waongo kwa...
  13. D

    Mkewe wa ndoa kachaguliwa kuendelea na kidato cha tano.

    Thread kama hizi kama zinakosa utetezi ni za kufutwa, unapoweka habari za uongo unasababisha hata habari za ukweli kudharauliwa, humu kuna watu wenye wadhfa mbalimbali wanaosaidia kulingana na wadhifa na elimu husika, Mimi nashauri kama akishindwa kuitetea basi ni bora kufutwa
  14. D

    Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    Kiuhalisia suala la kufanya mapenz kinyume na maumbile ni baya na ndo maana hata wanaofanya huwa hawapendi kujulikana kama wanafanya, Naomba nizungumzie madhara yake kisaikolojia Hili swala huvunja kabisa mahaba na mapenzi katika uhusiano na pia huleta utumwa, Mara nyingi hukuta mwanaume...
Back
Top Bottom