dumelanyago
Member
- Mar 2, 2017
- 23
- 24
1.Hvi mbunge wa kuteuliwa anaweza akaapishwa sehemu tofauti na bunge ikiwa kipindi cha uteuzi wake bunge halipo kazini.
2. Pia kama sikosei ninafahamu mtu hawezi kuwa waziri kama siyo mbunge naomba ukweli wa hili.
3. Je mbunge wa kuteuliwa anaweza kuapishwa uwaziri kabla ya kuapishwa ubunge?