Wonderful
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 7,347
- 5,984
Salam wanabodi.
Kuna jamaa yetu mmoja alienda kuoa huko kijijini kama miaka4 iliyopita.Baada ya kufika mjini akamuona mkewe ana nia ya kusoma,akamtafutia QT ya hapo maeneo ya Akiba Dar.Binti akaanza mwaka 2014-15 akamaliza akawa kapata Dv2 na akachaguliwa kujiunga na shule ya serikali "humo humo" mjini kwenu.But kwa wakati huo akawa mjamzito na hakwenda,now anafanya mishe ili aende ata private maana kishajifungua.Sasa jamaa hana raha maana hajui itakuaje kisheria,maana ni kama vile ameoa mwanafunzi na umri wake ni miaka22 sasa.Jee sheria inasemaje juu ya hili jambo?
Nawasirisha: