Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,185
- 18,513
Katika mazungumzo yao, waziri mkuu wa Ethiopia ameomba msaada wa wakuu was mikoa walau wawili ili wakamaidie kuboresha hali ya maisha kama walivyo Fanya hapa Tanzania. Waziri Huyo ameridhishwa sana na uchapakazi wa wakuu wa mikoa wa Tanzania hasa katika kusimamia swala zima la viwanda na usafi pamoja na shisha.
Naye mwenyeji wake amemhakikishia Waziri mkuu Huyo kuwa atampa wakuu wa mikoa wawili kutoka Arusha, na Dar es salaam ili wakamsaidie kuboresha viwanda huko Ethiopia.
mtangazaji wenu tabutupu kutoka shida FM.