Recent content by Dume la Mbegu

  1. Dume la Mbegu

    JamiiForums Tanzania Mkapa above the law?: Allegations

    Jibu liko dhahiri, ingekuwa koinsidensi ya hali ya juu, fisadi kupita na msululu wake na ataniwe kijana mwingine upande wa pili, ndio maana wakawazoa vijana wenye uchungu wa kuibiwa utajiri wao.
  2. Dume la Mbegu

    JamiiForums Tanzania Mkapa above the law?: Allegations

    Gembe, majibu haya hapa, asante kwa mwanakijiji:
  3. Dume la Mbegu

    JamiiForums Tanzania Kubenea kumwagiwa tindikali: Nini chanzo?

    Angalizo zuri, Mkuu! They are surely trying! Success is not their buddy!
  4. Dume la Mbegu

    JamiiForums Tanzania Kubenea kumwagiwa tindikali: Nini chanzo?

    Members wanaotumia lugha chafu dhidi ya wachangiaji wengine hapa JF badala ya kujibu hoja, wafungiwe! Wanapoteza direction ya discussions zinazoletwa hapa na kushusha nguvu ya hoja na hadhi ya JF yetu! Wahusika simamieni hili!
  5. Dume la Mbegu

    JamiiForums Tanzania Kubenea kumwagiwa tindikali: Nini chanzo?

    Mmh, naona umegusa hapo!
  6. Dume la Mbegu

    JamiiForums Tanzania Rostam Aishtaki Mwanahalisi

    GT, umeniaribia mood yangu kwa maoni dhaifu kama haya! Nani asiyejua mchango wa MwanaHalisi ktk vita dhidi ya ufisadi? Uko upande gani, mkuu, umenusishwa hivyo vijisenti nini? MwanaHalisi ndio gazeti linaloongoza katika kutupa habari za uozo uliopo mengine yakishughulika na viguguzi vyao.
  7. Dume la Mbegu

    JamiiForums Tanzania The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Haika, usijishushe sana! Mengi ya mageuzi unayoyaona yanafanyika sasa yanatokana na kilio cha wanahabari na wananchi kwa ujumla wao. Hivyo usiwakatishe wanaJF ktk kupigania haki! Sauti hii ina nguvu sana. Kuandamana ni njia moja lakini kura zetu ndio zinazoaawajiri viongozi na chama chama...
  8. Dume la Mbegu

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa ndege kukodishwa Wachina

    Ni vyema tenda ikatangazwa na upembuzi ukafanyika wa kina. Mleta hoja atuongoze katika hili. Uendeshaji wa uwanja wa ndege umetushinda, lets face it. Sababu za kushindwa huko zinaweza zisiwepo au zikawa nyingi lakini hazibadili ukweli TUMESHINDWA! Kunasikitisha sana! Maslahi ya taifa...
  9. Dume la Mbegu

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa ndege kukodishwa Wachina

    Morani, nafikiri matatizo tuliyonayo pia yanatokana na kutokuwepo kwa mipango mizuri ndio maana tunaona mipango inayokinzana katika jambo moja au uvivu wa kufikiri na kurukia mambo bila kufanyika utafiti kwanza (inawezekana yote mawili yana chimbuko moja). Juu ya maswali yako, sorry sina jibu.
  10. Dume la Mbegu

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa ndege kukodishwa Wachina

    Hali ya Uwanja wetu unatia aibu mno kwa sasa! Ukiendeshwa na kampuni yenye sifa zinazostahili na mikataba hiyo ikilinda maslahi ya taifa, nina neno moja tu la kuongeza RUHSA!
  11. Dume la Mbegu

    JamiiForums Tanzania The Radar Scandal: Investigation & Progress

    What is your point, Sir/Madam? You better be!
  12. Dume la Mbegu

    JamiiForums Tanzania Mkapa above the law?: Allegations

    Oh, nimebakiwa na ? naomba mkalimani!
  13. Dume la Mbegu

    JamiiForums Tanzania Mkapa above the law?: Allegations

    Phillemon, kuwa focused na usichanganye mambo! Hoja zilizopo sio shindano la nani zaidi! Naona unawashindanisha JK na Mkapa kwa nguvu zako zote kwa nia yakututoa kwenye hoja. Hatuko kwenye nani zaidi hapa! WanaJF wengi waliochangia hoja hii wamejitahidi kukupa "shule" ya umuhimu wa...
  14. Dume la Mbegu

    JamiiForums Tanzania Gavana Ballali: Nini kinaendelea?

    Mmh, kushinikiza balali arudishwe peke yake ni kama kulilia mkia wakati ng'ombe mzima ni stahili yako! Tushinikize mafisadi wote wa EPA, RICHMOND na Import Support wawekwe ndani!
  15. Dume la Mbegu

    JamiiForums Tanzania Gavana Ballali: Nini kinaendelea?

    Uwezekano wa yeye kuwa amejificha sio mkubwa sana hivyo naamini kuwa amefichwa! Hii bado ni puzzle! Hali yake inaweza kuwa nzuri au bado mahututi lakini bado tusiweze kumfikia kwa vile amefichwa.
Back
Top Bottom