Recent content by DulleShaibu

  1. DulleShaibu

    JamiiForums Tanzania TCU mnajichanganya, angalia hapa

    Nadhani yote ni sahihi, cha muhimu jufikisha point 4 bila fail au s,eg.A & E ,B & E A etc. D D wametoa kama mfano wa kuleta point 4 ni mawazo yangu maana ni kweli hamna ufafanuzi wa kutosha
  2. DulleShaibu

    JamiiForums Tanzania Pata bati kiwandani kwa bei ya kiwanda okoa gharama,Jenga kwa gharama nafuu

    Singida mko wapi
  3. DulleShaibu

    JamiiForums Tanzania Wasomi wamfagilia Sumaye uongozi Pwani

    Exactly,big up Sumaye
  4. DulleShaibu

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya walimu kukatwa madawati yakiharibika

    Alikosa la kuongea na wateule wake angesema likarabatiwe haraka sawa mshahara wa mwalimu unahusiana vp na madawati
  5. DulleShaibu

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Baba Jesca: Watendee haki kina Jesca wote ili nao wapate bahati kama Jesca!

    Nimefurahishwa na barua hadi nashindwa kuchangia! Amini baba Jesca atatenda haki
  6. DulleShaibu

    JamiiForums Tanzania Mhe. Bashe tengua kauli...

    Wanaodai kuwa wenye div 1 or 2 hawaendi ualimu sio kweli labda kwa form four kwa sababu wengi wanaweka FORM 5 kuwa chaguo la kwanza,ila kwa 6 ni uamuzi wa mtu na wengi wanaenda ualimu kwa sababu kuu mbili 1.Mkopo ni 100% wachache sana wanapata pungufu ya hiyo % 2.Ajira ni ya uhakika sio ya...
  7. DulleShaibu

    JamiiForums Tanzania Mchango wa Zitto katika Wizara ya Eimu na Mafunzo ya Ufundi

    Matatizo yanayofanya elimu yetu izidi kushuka ni mengi mno ukimtaja mwalimu tu mchango wake katika kushuka kwa elimu utajaza kaunter book japo chanzo kikuu ni sera na maslahi toka serikalini, Zitto kasema ukweli serikali ishindwe tu kuyafanyia kazi.
  8. DulleShaibu

    JamiiForums Tanzania LEMA: Ni wakati gani Rais alipaswa kuchukua hatua?

    Exacly
  9. DulleShaibu

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga atenguliwa Uwaziri baada ya kuingia Bungeni akiwa amelewa

    Ni habari ya kweli kaenguliwa kwa tuhuma hiyo ila kwa wanaofwatilia mwenendo wa sakata la LUGUMI watahisi limechangia kiasi kikubwa
  10. DulleShaibu

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga atenguliwa Uwaziri baada ya kuingia Bungeni akiwa amelewa

    Lengo ni kusafisha nchi na serikali yake kama alivyotuahidi kama hatawavumilia wanasemekana wanahusika na kashfa flani Kitwanga kazungumziwa mno na wapinzani hadi pia zitto kaamua kufunguka mh.katekeleza ahadi haijalishi urafiki
  11. DulleShaibu

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe amshukia Charles Kitwanga, waziri wa mambo ya ndani

    Bora katumbuliwa mapema ZITTO endelea na siasa za kizalendo nakukubali sana
  12. DulleShaibu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Magufuli anayo siri LUGUMI

    Ukweli utajulikana tu
  13. DulleShaibu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mmemkosea wapi Lowassa mpaka ameamua kujiweka pembeni na chama chenu?

    Ya CDM yabaki kwa wanaCDM kama hivyo tusubir but yote hayo ni siasa zetu za kukurupuka CCM CDM
Back
Top Bottom