Recent content by Dullah Ally

  1. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kweli nimeamini ni vigumu kuacha Punyeto moja kwa moja.

    Hahahahah noma sana asee mkuu umetisha sema kuacha utamadun huo sio jambo rahisi kabisa
  2. D

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Assets and liabilities

    Umasikini sio kitu kizuri naimani hakuna anaependa kuwa masikini kila mja anapenda kuwa na maisha mazuri but usikubali kuwa masikini kifikra sababu kuwa hivo ni kujichelewesha katika kufikia malengo yako. Mafanikio huchangiwa na mambo mengi mojawapo likiwa ni watu wanaotuzunguka wanasaidia sana...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Huu ni mpangilio wa mavazi ninaodhani unafaa kwa watu watanashati

    Hahahaha mambo ni mengi na muda hautoshi asee mkuu una ratiba ya week nzima upo vizuri
  4. D

    JamiiForums Tanzania Fahamu matumizi ya simu za mkononi mbali na kupigia picha

    Hahahhahhaa Tecno oyeee 😂😂😂😂
  5. D

    JamiiForums Tanzania Jitathimini, jiamini, wewe ni BORA

    Daah hata mimi nilikuwa hivohivo ila kuna baadhi ya njia nilizitumia mimi mwenyewe kidogo zimeniletea matokeo chanya tutasaidiana maana ni janga la vijana wengi sana na hii inaanzia toka tupo wadogo na watu waliotuzunguka wengi tunaishi kwa kukosoa sana kuliko kurekebisha mfano unakuta mtu...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Fahamu matumizi ya simu za mkononi mbali na kupigia picha

    Nouma sana asee
  7. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ulitumia njia gani kumpata mpenzi uliye naye?

    Mimi nilimwaminisha na vingi sana kwanza dada angu ndo kila kitu kwangu nilimpanga nikamwambia dada kuna mtoto namuelewa ila jinsi ya kumuanza ndo kazi sasa nakupa no. Yake umcheki watsap then uwe km unamuuliza wewe ndo wifi mbona kwenye simu ya mdogo wangu umetawala sana mpaka wallpapee upo...
  8. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tunapofanya tendo la ndoa zingatieni haya!

    Hahahaha mimi nacheka tyu
  9. D

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho ninachokiamini.

    The single most powerful asset we all have is our mind, if it is trained well, it can create enormous wealth... Ahsanteni sana Abdullah_Ally
  10. D

    JamiiForums Tanzania Jitathimini, jiamini, wewe ni BORA

    Shukran sana pamoja mara moja moja tukikumbushana sio mbaya kaka
  11. D

    JamiiForums Tanzania Jitathimini, jiamini, wewe ni BORA

    Swala la kujiamini linatufelisha sana kufikia malengo mfano mzuri ni mimi mwenyewe nilikuwa muoga sana kuanzia toka nilipokuwa shuleni, hata kama swali jibu lake nalifahamu sitaweza kunyoosha mkono na kujibu kutokujiamini ni kujifelisha wenyewe na wengi tunabaki na ile kauli kuwa mimi ndivo...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Je, kuna watu wanaishi mbele ya muda?

    Yes wapo wanaoishi mbele ya muda na wengi wao huwa hawaeleweki kwa mda huo but mda ukifika huwa wanaonekana kama manabii ama watu wenye maono
  13. D

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya ndoto na malengo&faida za kuwa na malengo

    Kweli kabisa maana ndoto huwa ni kubwa sana ila kwa kutumia malengo tulionayo tunaweza fikia kikubwa zaidi kikubwa ni kuheshimu kila hatua tunayofikia bila kudharau ni ndogo ama kubwa coz kidogo ndo huleta kikubwa
Back
Top Bottom