Huu ni mpangilio wa mavazi ninaodhani unafaa kwa watu watanashati

fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
8,408
7,961
Mimi hupenda sana utanashati, kuvaa vizuri yaani nguo safi, imepigwa pasi vizuri, mpangilio wa kuvaa nguo, viatu na mkanda wa kiunoni, nguo sio za gharama sana, hata mitumba navaa ila napangilia vizuri sana

Usafi wa mwili naoga asubuhi na nikiwa kazini huoga mchana baada ya kula na kupiga mswaki

Jumatatu navaa shati jeupe,suruali nyeusi, mkanda wa kiunoni brown na viatu brown.

Jumanne navaa suruali grey,shati blue bahari,mkanda mweusi na viatu vyeusi,

Jumatano navaa suruali brown, shati yellow ya kupauka mkanda tonney red na viatu tonney red

Alhamisi navaa tshirt orange,cadet suruali ya blue bahari, mkanda a bit blue na viatu aina ya raba navyo ni blue

Ijumaa navaa shati damu ya mzee,suruali ya khaki,mkanda black na viatu black

Jumamosi hatuendi kazini so navaa kawaida tu kazini kwetu hakuna dress code

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwanza mnisamehe wote kwa kuchelewa kujibu maswali yenu,
1.mimi sikai dar,naishi mikoani
2.mimi ni c.e.o wa shirika moja
3.ofisi yangu ni self contained yenye facilities zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom