Jitathimini, jiamini, wewe ni BORA

Dullah Ally

Member
Mar 24, 2019
16
12
Swala la kujiamini linatufelisha sana kufikia malengo mfano mzuri ni mimi mwenyewe nilikuwa muoga sana kuanzia toka nilipokuwa shuleni, hata kama swali jibu lake nalifahamu sitaweza kunyoosha mkono na kujibu kutokujiamini ni kujifelisha wenyewe na wengi tunabaki na ile kauli kuwa mimi ndivo nilivo.. My Brother/sister hakuna mtu aliyezaliwa atabaki kuwa hivo hivo alivo tambua kila kila mja anaweza kubadilika na kuwa zaidi ya hapo ama kuacha kabisa mfano. Mlevi unaweza kuwa mlevi zaidi ama ukaacha... Uoga unaweza ogopa zaidi ama ukaacha set mind yako katika mambo positive katika uelewa wangu mdogo ndugu zangu mimi nipo na sababu mbili zinazofanya mtu akawa ni mwenye kuona aibu ama kutokujiamn.

¡}. Kuchukulia mambo negative... Watu wengi tunafeli sana kwa kuchukulia mambo negative mfano unawazo lako bora kabisa la biashara unaogopa kujaribu ama kujenga hoja wazo la kwanza linalokuja kichwani unahisi utachekwa na watu, unahisi utapata hasara katika biashara hii ipo hata kwenye mahusiano umemuona mtoto mkalii unaogopa kumfata kisa akili yako imekuambia atakukataa, ama atakutukana hii ni changamoto kubwa sana na inayotusumbua vijana wengi... Kubali kubadilika kila mtu anaouwezo wa kubadilika.

¡¡}. Sababu ya pili kujichukulia personal... Hii inatufelisha sana na sio vijana tyu hata watu wazima kwa mfano upo barabarani unatembea ghafla anatokea mtu anakutukana haumfahamu wala yeye pia hakufahamu najuwa kwa akili zetu wengi lazima tutamjibu ila kwakuwa wengi tunajichukulia personal lazima tutareact vibaya sasa kureact vibaya ni kumpa credit huyo aliyekuchokoza na akajisifu kuwa yeye ni bingwa wa kubahatisha kwa kuwa amekuita mjinga na wewe umereact kisa umeitwa mjinga ikumvukwe ukitukanwa tusi la kweli uhamsha hisia zilizopo ndani yetu... Na itakuwa ni ishara kwamba haujiamini...

Jiamini nitajaribu kwa uelewa wangu mdogo kuleta hoja kidogo mbinu ama nini cha kufanya ili kujiamini. Kutokujiamni huchelewesha mafanikio.. Ahsanteni sana

Abdullah_Ally
 
Unachosema ni sahihi kabisa mkuu na hilo tatizo mm ninalo sn kutojiamini

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah hata mimi nilikuwa hivohivo ila kuna baadhi ya njia nilizitumia mimi mwenyewe kidogo zimeniletea matokeo chanya tutasaidiana maana ni janga la vijana wengi sana na hii inaanzia toka tupo wadogo na watu waliotuzunguka wengi tunaishi kwa kukosoa sana kuliko kurekebisha mfano unakuta mtu anajisifu kwa watu mimi nina madem wengi, mimi ni mbabe na watu wanamsifu sana ila jitokeze wewe na kusema mimi nina akili, nina pesa, mimi ni mzuri lazima watakushambulia kwa maneno so tatizo linaanzia kwenye jamii zetu kutokujiamn kunasababishwa na mambo mengi sana
 
Back
Top Bottom