Recent content by Duksi

  1. D

    Mipango Miji: Kwanini kuna stendi holela za mabasi wakati kuna stendi ya Magufuli jijini Dar???

    Huu ndio ukweli na hakuna nchi inayojitambua inafanya uholela huu, ila wadau wananitusi tu wakati nimetoa mtazamo. Kwa mawazo ninayoyaona hapa, tutachukua miaka mingi sana kupiga hatua kama taifa, watu wanataka urahisi na sio usahihi, urahisi mara nyingi hauna manufaa ya muda mrefu.
  2. D

    Mipango Miji: Kwanini kuna stendi holela za mabasi wakati kuna stendi ya Magufuli jijini Dar???

    Hukua na haja ya kutusi ni mtazamo tofauti tu na wako. Tembea duniani uone mambo yalivyo.
  3. D

    Naombeni ushauri Wenu ni Muhimu nimechanganyikiwa

    Umepotezaje kazi? Muhimu endelea kutafuta kazi maana ujuzi wako bado unauhitaji mkubwa sana... tfauta pia nje....lakini pia angalia namna unaweza kuzalisha pesa ya kuishi wakati unatafuta fursa...je unaweza kufanya kitu gani kikaingiza pesa?? Computer accessory shop from antivirus mpaka windows...
  4. D

    Mipango Miji: Kwanini kuna stendi holela za mabasi wakati kuna stendi ya Magufuli jijini Dar???

    Katika jambo la kushangaza ni uholela wa stendi za mabasi ya abiria yanayofanya safari kati ya dar es salaam na mikoa mbali mbali nchini kuwa na vituo vyao binafsi tofaiti na kituo stahiki cha serikali cha magufuli kilichopo mbezi mwisho Kwa wakazi wa dar kuanzia magomeni mpaka ubungo kuna...
  5. D

    Uliwezaje kufungua mnyororo wa umaskini kwenye miaka yako ya 30?

    Umaskini ni nini? Kwa mfano mvuvi anaishi Kilwa au Mafia, anavua samaki wake anauza kwenye soko lao anapata pesa ya kula na kusomesha watoto wake, anaishi nyumba ndogo inayomtosha ina umeme, hana gari na wala haliihitaji kwa shughuli zake, je huyu ni maskini?? Pengine ana shamba kijijini...
  6. D

    Mimi ni nani na ni mtu wa aina gani hilo ndio swali ambalo huwa najiuliza

    Hebu soma soma kidogo ( sio shule, vitabu, majarida, documentary na makala mitandaoni), pia ukiweza safiri safiri utapata uelewa mkubwa wa mambo na dunia....utagundua kinachokusumbua ni kuwa bado una exposure ndogo.
  7. D

    Rais Samia, shughuli za uapisho nchini ni gharama kubwa zisizo za lazma, Viongozi badilikeni

    Waige uingereza kiongozi mkuu (waziri mkuu) amechaguliwa jana, siku hiyo hiyo ameanza kazi hamna uapisho wala masherehe ya kukusanya watu, kesho yake ametangaza baraza la mawaziri na kazi zimeanza. Hamna gharama za uapisho, mikusanyiko uwanjani, wageni wa nje n.k. pia baraza limeteuliwa ndani...
  8. D

    Mwanaume asiye na uwezo wa kupata mtoto anahitajika

    Baba zao/ yao wapo hai?
  9. D

    Msaada nataka kwenda kujaribu maisha Botswana 🇧🇼

    Dereva tafuta mbinu uende Qatar, Saudi, Bahrain huko ndio kazi za udereva au urudi bongo malori mengi tu yanaenda nchi jirani. Botswana nchi ya watu <3m hamna kazi nyingi za udereva.
  10. D

    Kuna ukweli kuhusu hili wakuu?

    Sidhani kama kulia tu pekee, bali ni muhimu kufanya therapy inaisaidia kukuponyesha maumivu na kuondoa msongo. Hivyo tafuta mwanasaikolojia ambae ni mtaalam wa therapy. Wao wanajua pakuanzia, pengine bado una maumivu au kuna mambo hujayakubali itakusaidia kuunguza dukuduku na maumivu moyoni...
  11. D

    Wanaume tujifunze kujenga ukaribu mkubwa zaidi na familia zetu

    Ukweli mchungu qmbao unapswa kuujua 1. Thamani ya mwanaume kwwnye familia ni pesa tu. 2. Kosa pesa uone kama utathaminiwa hata kama hujastaafu. 3. Mtu akistaafu uwezo wake wa kifedha unashuka wale familia ambao ni kama kupe wanamuona hana thamani tena maana hawezi kuendelea kuwapa pesa, hili...
  12. D

    Breakfast yako kuu kwa sasa ni ipi?

    Kiuhalisia kama hufanyi kazi za jasho au nguvu hupaswi kupata breskfast, ikiwa utapata iwe chai kavu bila wanga. Tumuunge mkono Dr Janabi kupunguza magonjwa yasio ambukiza.
  13. D

    Chanzo cha uhaba wa dollars bara la Afrika na njia za kuondokana

    1. Kiingereza kianze kutumika kuanzia primary. Baadhi ya shule chache za serikali wameanza ila ni chache inabidi iwe nchi nzima, hii itafungua fursa kupeleka vijana wengi wanaomaliza vyuo na collegea kwenye ajira ulaya, middle east na Australia kwakuwa watakuwa wanaweza kuwasiliana vyema na...
  14. D

    Nimeamua sasa kuachana na ualimu na kwenda kusoma

    Labda kabla ya kusoma jiulize, unataka kusoma ili iweje? Upate cheti kingine, upate ajira nyingine au ujiajiri?? NI kweli ICT inalipa kuliko ualimu hivyo sio mbaya lakini kabla ya kusoma tafakari malengo yako yapo wapi, kama nia ni kuja kusaka ajira hujakosea. Ila kama ni kuongeza ujuzi na...
  15. D

    Botswana imefanyaje kufikia hatua hii?

    1. Naweza kusema population density yao ni ndogo sana, watu 4.6 kwa kilometa ya mraba ukilinganisha na Tanzania ina watu 72 kwa kilometa ya mraba. Kimantiki ukiwa na rasilimali nyingi na mpo wachache maana yake ni matajiri lakini pia kwa upande mwingine uwezo wao wa uzalishaji upo chini. Fikiria...
Back
Top Bottom