Recent content by dukethegreat

  1. D

    JamiiForums Tanzania Transfoma yasafirishwa kwa milioni 256!

    Daah. Kwa hyo wa milioni 256 ndo anajua kazi. Kweli maajabu hayaishi nchi hii
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

    Kwanini tunatengeneza makombora na silaha nzito za kuuana na kuangamiza dunia tunayoishi wenyewe binadamu
  3. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Cartoons kwa watoto tu?

    Daah. Nimekumbuka Rango ana mikwara mingi. I killed two birds with one bullet
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa flyover ya TAZARA mbioni kuanza wakati wowote!

    Fly over hapo Tazara haiwezekani itabidi wabomoe majengo mengi. Waseme tu wanaweka overpass road kulingana na picha ya mchoro.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    Unleash the giant within by anthony robbins
  6. D

    JamiiForums Tanzania historians may look back and say this was the start of World War III

    Ukraine inahitaji kubakia kama neutral country isiwe upande wa russia au eu. Shida ni pale walipomlazimisha former president aweke sahihi mkataba na ulaya. Warusi waliingilia na kumpa mikopo pamoja na gesi kwa bei nafuu. Halafu hao magharibi wakaendesha siasa za kuanza kuhamasisha watu...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Movie Reviews

    Athena siyo muendelezo kamili ni kama spin off ya Iris
  8. D

    JamiiForums Tanzania PS anayemtega BOSS wake

    Mmhh. Hapo hakuna ufanisi kazini
  9. D

    JamiiForums Tanzania Unampigia simu girlfriend wako anapokea mwanaume anakuambia kwamba usiwasumbue wako faragha

    Jiondoe mazima, ya nini kuhangaishana
  10. D

    JamiiForums Tanzania How Nigeria’s economy grew by 89% overnight.

    They deserve it.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Black Jews of Tanzania

    Mmhh. Wachaga na uyahudi wapi na wapi.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Answering (or trying to) the Religion Question in Tanzania

    Mda nzuri sana ambayo mletaji alijipanga kwa ufasaha. Sasa hivi naona watu wanakosa staha na kuvumiliana. Hii nchi hatuwezi kuendelea kwa kuendekeza udini na ukabila, Mwalimu alituonya juu ya ubaguzi. Inabidi tuweze kureason mambo na siyo kugeuza kila jambo muhimu kwenye udini. Dini zetu...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa Brigedia Jenerali kumlinda Rais?

    Hii ndo jf yenyewe
  14. D

    JamiiForums Tanzania OBAMA warns RUSSIA.....

    If ukraine is turned pro west, Russia will remain just a Central Asian empire but with ukraine at its western it will have more influence. Western countries simply want to curb Russia. From a man who said the fall of Soviet empire was the greatest tragedy of 20th century, you can accept this...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Saudi hits back at Russia criticism on Syria arms

    Its all about geopolitics and regime changes.
Back
Top Bottom