acha wakae hivo maana sie madomo zege tungeteseka sana. nashukuru pamoja na domo zege langu lkn nishawala wazuri kadhaa kutokana na tabia zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Zambarau zilikuwa zinapatikana kwa wingi maeneo ya kwa boga ila inabidi uende kabla ya saa 6 maana mida hiyo majini yanaanza kurudi yanaweza yakakukumba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.