muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,835
- 14,729
Yule aliyekuwa anampenda na kumzuzua kamtema,karudi kwako....piga chini.
au ni wewe nn mkuu pirates lilUmemchunguza hana boy?
Shangaa, mara ya kwanza hakuomba ushauri!Hili ni jambo la kuomba ushauri kwel???
Mwache Ajiaminishe,Hawajui Wanawake Huyu..Hahaha dah! Anyway, dalili hizo za kukupenda ulizoziona ni zipi?
Kwan kwa sasa financial statement yako inasomekaje?
liko juu ya uwezo wake wa kufikiri mkuuHili ni jambo la kuomba ushauri kwel???
Hamna, BAKOI ana lack technical skills. Aende tuisheniInaonekana amejua mambo yako mazuri achana nae hakufai hana upendo wa dhati
MtafuneWanajamvi kwanza natanguliza heshima kwenu.
Kilichonisukuma kuandika hapa ni kwamba kuna binti niliwahi kumtongoza miaka minne iliyopita kwa bahati mbaya alinikatalia. Lakini sasa hivi naona kila dalili ya kunipenda lakini naogopa kumtongoza tena asije akanikataa kwa mara ya pili.
Naombeni ushauri wenu wanajamvi, karibuni sana kwani mawazo yenu ni muhimu