Recent content by dubalee

  1. D

    Uandikishaji Wapiga Kura 2019: Baadhi ya hoja za wasio tayari kujiandikisha ni hizi...

    Acha unafiki,, Kama wewe huwezi usieneze sumu kwa wengine Ukiulizwa tangu uzaliwe ushalifanyia nn hili taifa aim utabakiwa na mdomo wa Sungura .
  2. D

    Ushauri kwa mabinti

    Usilaumu ndugu Mfano nilikuwa kwenye mahusiano ten years,, Bahati mbaya pendo likafa Kuanzia 2016 Mpaka sasa nipo kama msela Fulani, so ni namna gani unajjtambua na utajitunza ukawa mwanamwali mwema,, Halafu siku hizi vijana hamuoi jaman Sasa msilaumu wanawake kuwa single for long...
  3. D

    Serikali (TAMISEMI) wafanyieni walimu Interview kabla ya kuwapost vituoni...

    Yaani Walimu wakifanyiwa usaili ninahakika watafel wengi. Nishawafanyia usaili Fulani walimu aisee watoto wetu wanalishwa elimu iso na mnofu. Nikaelewa why viongozi wanapeleka watoto wao senti baga sio senti boga Sent using Jamii Forums mobile app
  4. D

    Nina shida ya kufahamu utaratibu wa kupata mkopo kupitia mfuko wa maendeleo ya vijana

    Utaratibu wa kutoa mkopo kwa mtu mmoja mmoja bado haujaanza. Japo mwongozo ambao unaelezea kukopesha mtu mmoja mmoja haujaanza rasmi Sent using Jamii Forums mobile app
  5. D

    Nandy kwa sasa yuko kwenye mahusiano na Gavana wa Mombasa?

    Wewe unatiana na nani Sent using Jamii Forums mobile app
  6. D

    Nitaka nianze mchakato wa talaka!

    Mpe taraka upate amani Maana bila Hyo siku utajiuaa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. D

    Kutokupata hedhi kwa miaka mingi

    Pole mno Sikufanyi uamini uchawi, ila wenye nguvu zao za Giza wananyonya hayo mayai ili usipate mtoto, Upo mkoa gani Sent using Jamii Forums mobile app
  8. D

    Rais Magufuli tunakuomba ingilia kati marufuku ya Watumishi kuhamishwa kituo cha kazi

    Mheshimiwa Rais Magufuli, Watumishi wako tunaomba ingilia kati suala letu la kuhama eneo moja la kazi kwenda jingine Ni miezi kadhaa sasa tangu 28 August 2018 tangazo la kusitisha uhamisho lilipotolewa. Hofu kubwa iliyotawala kwetu ni kutetereka na kuvunjika kwa familia zetu ambazo tunaishi...
  9. D

    Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

    Njoo tuoane Maana Nami nilitelekezwa na kipenzi stendi ya kimara baruti[emoji849]
  10. D

    Wanawake sasa hivi mmevuka mipaka

    Mm siombi hela nitafute[emoji13][emoji13][emoji13]
  11. D

    Ukiona huumii tena na mapenzi kama zamani jua umeshaanza kuwa malaya

    Sio kweli Niliumizwa kimapenzi na kipenzi changu ambye tulidumu Mpaka miaka 10 Nusu niwe chiziii[emoji38][emoji38] But nikajifunza kupenda kiasi pasipo kuwa mlevi wa pendo Naishi maisha mazur mno nowadays. Sina hata chembe ya umalaya
  12. D

    2020 twende na Membe ama January Makamba?

    Hawa wanapasa kuongoza mikoa yao tuu sio nchi
  13. D

    Msemaji mkuu wa Serikali, Dr. Abbas akunwa na utendaji, mageuzi ya RC Geita

    This man is much hardworking,, Pamoja na RC also anahubiri kanisani vzr mnooo[emoji54]
  14. D

    Mke namhitaji

    Nielekeze nyumba
Back
Top Bottom