Recent content by duara

  1. D

    JamiiForums Tanzania Yanga wanapambana kumtumia Feitoto kulipa hasara walivyotumia kumnunua Aziz Ki

    Boss hapo naona ata kama ingekuwa kwel Unachanganya thamani ya kumnunua Ki, na kumuuza Toto, bila kujua thamani ya Ki ikitokea kuwekwa sokoni. so unafanya unfair comparison
  2. D

    JamiiForums Tanzania Project funding: Civil works project

    Hari zenu wanabodi, Nahitaji mwezeshaji/mwekezaji ambae tutashirikiana ku-run project ya ujenzi wa mradi wa maji. Contract na majadiliano ya returns as per capital invested yatafanyika kwa uwazi kwa ambae yupo interested. Ni project inayoweza fanya return nzuri kwa win win situation. Mradi...
  3. D

    JamiiForums Tanzania adapter inahitajika

    hali zenu wanabodi. wakuu naomba kwa anayeweza kuniuzia adapter ambayo inaweza pokea input ya 110/240 v ac 50/60 na kutoa output ya 5Voltd dc na 0.5A naihitaji kwa haraka mno.inisaidie kwenye kifaa changu.power consuption ni 2.6w uhitaji ni wa haraka sana.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Picha na habari: Yaliyotokea kijijini Msimbati, Mtwara

    nyumba ya mheshimiwa mmoja imechomwa moto mtwara..nadhan n ya ghasia maana inaelekezwa kuwa iko maeneo ya stand mtwara
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Mbatia ashushwa jukwaani, ni kutokana na kauli yake juu ya suala la gesi

    mabomu yanarindima sasa
  6. D

    JamiiForums Tanzania Adhabu zingine sio

    Jamani ndugu zangu, Nmefika kijiweni tu jamaa akaanza tupa story juu ya adhabu walompa kijana mpenda wake za watu baada ya kufumaniwa Ile kukutwa chumban tu jamaa wakamshka mfumaniwa..wakamtanua mdomo wakamuita mwenzao mnywa tembo mmoja si akamnyea mdomoni jamaa alofumaniwa.... Kumaliza...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Prof Muhongo asema Mtwara wamekuwa wakitumia umeme wa Kiihansi kwa muda mrefu. Ni kweli?

    Hali zenu wadau, ivi wakuu huu mradi wa bomba la gesi una uhusiano wowote na sera ya gesi?maana kule mtwara maoni yanayohusiana na gesi nilishuhudia yakiwayanakusanywa kwenye ukumbi wa makonde resort ndani ya miezi miwili tu ilopita. Je hii inamaanisha kuwa sera ilokuwa inatafutiwa maoni...
  8. D

    JamiiForums Tanzania car rental biz

    wadau, Naomba maujuzi(legal requirements ) na baadhi ya details kwa wenye ufahamu juu ya biashara hii..ningependa kujua mara baada ya kusajiliwa brela kampuni yangu/frm natakiwa kujisajili na board gani pia ili kuwa na uhalali wa kufanya car rental services.. Naomba kujuzwa wadau..
  9. D

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya Viongozi na Vijana wa CHADEMA kususia Media na kuzikashifu ni mbaya!

    Mkuu Phd,namna ya kuikomoa tbc ndio hiyo ya kutangaza mgogoro nao ambao utawapunguzia watazamaji ambao inreturn itapunguza idadi ya watu wanaofikiwa na propaganda zao,hence jamii kubwa inakuwa imeokolewa na sumu ya ubongo.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Wananchi Mtwara Mjini wafanya maandamano makubwa kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar!

    zaidi ya yote nliposhindwa kupata logic ni pale mwenyeji wa msimbati aliposema kuwa yule bibi wa mwanzo alowasaidia kuomba adi wakafanikiwa kuitoa gesi,baada ya cassings zao nyingi kuvunjika pasipo mafanikio ashaghairi kutoa msaada tena wa ''kiufundi''so hawataweza safirisha ata iweje..hapo...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Wananchi Mtwara Mjini wafanya maandamano makubwa kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar!

    maisha yashakuwa magumu kwa huu mradi,kwa maana plan b itakuwa siyo. Pia kilichonishangasha kwa kauli mbiu yao ya gesi kwanza vyama baadae na kuwa na gari(land lover) ilopambwa kwa vyama vyote isipokuwa bendera ya ccm haijahusishwa.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kupiga naye story hapa usingizi umepaa

    ishakuwa babaa na mamaa tena?
  13. D

    JamiiForums Tanzania JF Exclusive: OC CID Kawe... (inahusiana na Dr. Ulimboka)

    ivi,kwa mfano hii ikawa KWELI KUWA NI kesi ya kufanya elimination kwa kukosa target ya mwanzo(dr ulimboka),itakuwa kali kweli,maana kama watu wametumwa kum-eliminate uyu OC CID nao wamekosea target,si itakuwa hatari sasa,maana nao itabidi itumwe timu ya kuwaeliminate waloshindwa kwenye hi ajali...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Unawakumbuka ma-headmaster maarufu in 80s to 90s?

    iv mtabe (bingwa kwenye sekta) Msuka ashatajwa? Ndani ya MAVI(Mzumbe Academic VI-llage)
Back
Top Bottom