car rental biz

car rental biz

duara

Member
Joined
Nov 17, 2008
Posts
28
Reaction score
6
wadau,
Naomba maujuzi(legal requirements ) na baadhi ya details kwa wenye ufahamu juu ya biashara hii..ningependa kujua mara baada ya kusajiliwa brela kampuni yangu/frm natakiwa kujisajili na board gani pia ili kuwa na uhalali wa kufanya car rental services..
Naomba kujuzwa wadau..
 
Back
Top Bottom