hali zenu wanabodi.
wakuu naomba kwa anayeweza kuniuzia adapter ambayo inaweza pokea input ya 110/240 v ac 50/60 na kutoa output ya 5Voltd dc na 0.5A naihitaji kwa haraka mno.inisaidie kwenye kifaa changu.power consuption ni 2.6w
Nenda kwenye duka la M.s. Megji Ltd Makunganya Street linapakana na Dar-es-salaam Book Shop na Nevada hapa Dar City Center. Wana adapter kibao za choice yako. Contacts zao ni +255713225922 / +255788511511, unaweza kuwaulizia kabla hujaenda.
Au jaribu duka lingine linaitwa KVD liko mtaa huohuo wa Makunganya opposite na petrol filling station iliyokuwa ya BP siku hizi ni Puma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.