Recent content by DRV

  1. D

    Simkumbuki Wakili mnafiki kuliko Marando

    Nadhani Marando mwenyewe alishawahi kusema kuwa kina Jeetu walitumika tu kama scapegoat na ndio maana anawatetea. There are key figures behind the EPA scandal who really need to be dealt sio hawa waliokuja kutumika dakika za mwisho kutawanya tu hizo hela!
  2. D

    Nani huyu Angellah Jasmine Kairuki

    Ni kweli ni mdada mwenye uwezo mkubwa na vipaji lukuki. Lakini ni kweli pia kuwa ni mtoto wa Esther Mkwizu aliyekuwa mshauri wa Rais Ben wa mambo ya uchumi. Kama sikosei bado ni mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundation. Kwahiyo anatoka kwenye familia iliyojikita kwenye system...
  3. D

    A true partnership — Tanzanian Royalty goes 55/45 with Tanzania on the Buckreef gold project

    Huu ndio ule mgodi unaosemekana na JK kupitia Riz ana share? Isije ikawa hiyo 45 ni ya kwao alafu tunaambiwa ya serikali!
  4. D

    Tafadhali Kikwete tangaza hali ya Dharura kwa Jiji la Dar; TUONGOZE KWENYE DHARURA HII!

    Jamani inawezekana hali yake si nzuri si unajua huwa anatembea na ambulance sasa hiyo atakwendaje nayo huko kwenye maafa. Si wahanga wanaweza kumnyang'anya wakidai wao ndio wanaoistahili zaidi. Ndio maana akaona ni bora zaidi amtumie tu salamu shosti yake Sadick kwanza yeye mwenye hata hajaombwa...
  5. D

    Babu kutoa kikombe Jangwani

    Mmeiona story ya babu kwenye new york times la alhamisi?
  6. D

    Aliko mgombea mwenza wa Dr Slaa 2010

    Hivi jamani kwani Mheshimiwa Marehemu Simba wa vita alikuwa na elimu gani?
  7. D

    GE2010 Katu Kikwete Hakushinda 2010 nani anabisha?

    Mkwere ni klasmonta wa ikulu anahakikisha wafanyakazi pale hawapigi kelele wakipiga anampelekea ticha Rosti tamu.
  8. D

    Maendeleo ya CHADEMA Njombe

    Hongereni. Concern yangu hapa ni kama hatujaona mchango wa CDM makao makuu katika hizi jitihada. Naamini kama hizo contacts si ajabu ingekuwa rahisi kuzipata kwa ushirikiano na na uratibu kutoka makao makuu mpaka ngazi ya mkoa in this case nadhani mngehitaji kushirikiana na viongozi wa mkoa...
  9. D

    CHADEMA Must Reform and Restructure now!

    Rev. Hivi Kazi unazotaka Dk. Slaa afanye hawezi kuzifanya sasa hivi kwa kofia yake? Kuna kitu gani cha kumzuia kujenga chama kama tayari ndiye mtendaji mkuu. Wapo viongozi wengi wanaoweza kuendelea kumsaidia na hawapo bungeni. Dk anaendesha sekretariati nzima ya chama. Hivi hiyo kweli haitoshi...
  10. D

    Felix Mkosamali: Mbunge mdogo (24yrs) toka NCCR, apata ushindi 97.72%

    Kijana wa watu angeingia Chaka Chua Matokeo angepewa probation kwanza ya walau miaka kumi. Si jambo la kushangaza jamaa hawana mbunge hata mmoja wa kuchaguliwa below 35.
  11. D

    GE2010 Gachuma akanusha madai ya Dk. Slaa

    Ahaha. Huyu mzee Gachuma ameniacha hoi. Yani ametumia hii nafasi kutangaza biashara yake. Huyu mzee ana cheo cha udhamini wa CCM kama yule mzee wa upareni Peter Kisumo. Na ni kiongozi nadhani mkoa wa mara. Jamani tukubali tukatae hata tufanye nini CCM hii imechafuka sana haiwezi kutakata. Huu...
  12. D

    Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    nilikuwa sijamskia Malaria Sugu muda. Naskia mko busy mnachezea data base ya NEC. I hope mna wataalamu wa Statistics vile vile kwasaabu so far upuuzi wenu umeanza kujidhihirisha hesabu hazi make sense kabisa.
  13. D

    Tizama ITV online

    wakubwa hiyo kitu ni ya kulipia jamani. si kuangalia tu TV bure.
  14. D

    Who is Deodorus Kamala?

    inaonekana jamaa alijipa udokta baada ya kusoma masters mbili kama hii CV ina ukweli. Nadhani ni breed mpya kabisa ya udaktari kwamba baadala ya kusoma PhD unasoma masters mbili teh teh!
  15. D

    GE2010 Baraza jipya la mawaziri 2010/2015

    Kuna dalili nyingi kuwa EL atarudi kwa namna yeyote ili kutengeneza njia for 2015. Kutokana na ego hawezi kurudi barazani kwa nafasi chini ya ile aliyoondoka nayo. Hata hivyo naamini kutokana na kuongezeka kwa wingi wa wabunge wasiokuwa CCM si rahisi akapita. Kwakuwa Chenge ameshaandaliwa kuwa...
Back
Top Bottom