Aliko mgombea mwenza wa Dr Slaa 2010

itahwa

Member
Mar 23, 2011
97
142
katika uchaguzi mkuu wa Tanzania 2010 kulikuwa na kioja kimoja ambako mgombea mwenza wa Dr Slaa ambaye alikuwa na elimu ya darasa la saba hii ni ajabu sana kwa chama chenye kujivunia wasomi lukuki! huyu bwana yuko wapi asa hivi mbona hasikiki? na mbona kwenye shughuli mbalimbali za chama haoenekani?? unajua laiti Slaa ,yule mgombea mwenza wake angeshida angeingia kwenye kumbukumbu za dunia" a standard seven leaver being the vice president" kama sikosekei mtu mwingine mwenye elimu ya msingi ambaye aliweza kushika nafasi za juu za nchi katika ukanda wetu huu ni Idd Amin
 
Umenifurahisha sana kwa statement kwamba angevunja record ya dunia
 
katika uchaguzi mkuu wa Tanzania 2010 kulikuwa na kioja kimoja ambako mgombea mwenza wa Dr Slaa ambaye alikuwa na elimu ya darasa la saba hii ni ajabu sana kwa chama chenye kujivunia wasomi lukuki! huyu bwana yuko wapi asa hivi mbona hasikiki? na mbona kwenye shughuli mbalimbali za chama haoenekani?? unajua laiti Slaa ,yule mgombea mwenza wake angeshida angeingia kwenye kumbukumbu za dunia" a standard seven leaver being the vice president" kama sikosekei mtu mwingine mwenye elimu ya msingi ambaye aliweza kushika nafasi za juu za nchi katika ukanda wetu huu ni Idd Amin

wapi katiba ya nchi ina-specify kuzuia makamu wa rais kuwa na elimu ya std 7?
 
Kama tunapenda maendeleo ya demokrasia katika nchi yetu basi ni vizuri tupongeze pale ambapo chama cha siasa kinafanya vizuri na pale wanapokosea tunawakosoe. Nilisikitika sana, ingawa sikuwa na la kufanya. Education is civilazation, vipi tuongozwe na uncivilized person. Sijui chadema walifikiria nini, mpaka wakafikia hapo. Ni bora kama hakuna mtu basi nafasi iwe wazi, kama vile Egypy ya Mubarak au wangetangaza, vijana tungejitokeza. Tungependa tuwe na chama kimoja kikuu cha upinzani, kama vile marekani. Lakini kwa kuwa na VP wa elimu dunia hatuwezi kufika. Mimi nina mfano hai, mbunge wangu ni STD 7 ingawa sikushiriki kumchagua, wananchi wameanza kujutia. Chadema wasije rudia kosa kama hilo. Hatupendi kuweka historia za kijinja" Hati VC P la saba"
 
Yahe, yupo pale michenzani anauza zake gengeni. Shame on you chadedemas mlitaka kutuletea mtu wa std7.
Ila wachangiaji wengi hapo juu na wapa big up kwa kuwa wakweli.
 
Udini haupo Tz ni kiinimacho tu cha wajinga wachache na watu wanaowafuata kwa mafungu kama nyanya zipelekwazo mnadani.

mkuu .... ninaweza kukubaliana na wewe .... mbona huku mtaani kwangu sikutani na huu upuuzi wa udini
 
Hivi kule hakuna walio na elimu zaidi ya darasa la saba, ambao wangegombea kwa chama hiki?
 
Back
Top Bottom