Babu kutoa kikombe Jangwani

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,272
47,268
MCHUNGAJI Ambilikile Mwaisapile ‘Babu’ ametua Dar es Salaam kutoa huduma yake ya tiba ya kikombe kwa muda akisubiri eneo lingine kubwa zaidi aliloahidiwa na Serikali.

Babu aliwasili Alhamisi asubuhi kwa helikopta akitoka Loliondo ambako utoaji tiba umesimama kwa muda na Ijumaa atakuwa akitoa kikombe katika viwanja vya Jangwani ambako alisema nafasi ni pana zaidi.
 
Pumba fu kabisa siku ya wajinga bado khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Jamani wana JF eti we uko karibu tuwahie nafasi! Aka! Wahin foleni hizo, tena mwisho sa 4 asubuhi. Watatibiwa waliowahi tu, jioni anaondoka
 
Usiwe na wasiwasi nitakuletea kikombe mpaka mlangoni,

Kwanza hakikisha simu yako ina zaidi ya shilingi elfu tano na mia tano. kisha,

Piga simu hii *101*(hapa weka namba yangu si mnaijua?)*5000#. Kisha chukua kikombe unachonywea chai, mimina maji, fumba macho kunywa. Amini ni mimi nimekuletea mpaka mlangoni utapona.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom