Recent content by drphone

  1. drphone

    Mbowe: Dereva wa Lissu akirudi Tanzania anaweza akauawa

    Sasa kwanini mbowe asimuhoji dereva? Au kwanini wasiruhusu police wamuhoji hapo hapo hospital?
  2. drphone

    Nani aliyemshauri Rais Magufuli amjibu Lowassa?

    Walioko nyuma yake kama kweli wana nguvu wangemfikisha ikulu aliposema mafuriko ayazuiliki lkn yalizuilika kwa mkono
  3. drphone

    Dawa ya Kulevya: Rumishael Shoo (Rummy) ndani ya mikono 'salama' ya Polisi

    Daa nimejirizisha kwl ni yy over mzungu alikuwa kapigika kwl kwl kama alitoka kwa unga mby nahurumia walioteseka kupitia hayo madawa aiseee mbaya sana
  4. drphone

    Dawa ya Kulevya: Rumishael Shoo (Rummy) ndani ya mikono 'salama' ya Polisi

    Duu huyu dogo mbn kama namfahamu au namfananisha alikuwa akitumia jina la Rashid kkoo miaka hiyo anaflash flash simu tunamfundisha alipotea kitambo ndonamwona hapa na mastory haya dogo alikuwaga simple tu amakweli nganda aidanganyi aiseee
  5. drphone

    Kama ni kweli na ushahidi upo....

    Basi hata wasipokwenda mahakamani basi watoe ushahidi wa ivyo vyeti basi hadharani
  6. drphone

    msaada: jinsi ya kulock mafile ya kwenye simu

    Nenda playstore pakua applock
  7. drphone

    Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

    Uwiiiii kwl nimebarikiwa mno mno aliyebuni uzi huu mwili na nyama avijamfunulia bali Rm pls kwanini lifunguliwe group la wassap tupate kwa urahisi hizi nyimbo mfano wimbo wa katika safari ya injili wa kimara lutheran kwaya namkumbuka marehemu shangazi yng na sauti yake naisikia kbs
  8. drphone

    Trafic Kimara Bucha wanania ya kuiangusha serikali

    Point kbs mkuu trafik awapo kusaidia/shauriana/elimishana wao wapo kwa kazioja tu kukomoa kwa kukuandikia faini wanaona ndiyo jukumu lao tu basi lkn c kuonya/elekeza hpn fikiria ulichokisema hapo mm majuzi nimetoka mwenge nakwenda stendi ya mkoa kufika mataa mbele akuna gari na taa zimewaka...
  9. drphone

    TCRA bila kuwa na mkutano wa pamoja na mafundi simu mtafunga wengi

    Nafikiri ujaelewa unaongea na nani ndonana ila tuyaache hayo tuje kwenye main point aswa ya post hope umeelewa mchango wangu wa mawazo hapo
  10. drphone

    TCRA bila kuwa na mkutano wa pamoja na mafundi simu mtafunga wengi

    Na bado yupo hapo hapo mpk leo mkuu hao ndiyo tulianza nao miaka hiyo ikaja tritel ndo gsm yakwanza kabla mobitel awajahamia digital
  11. drphone

    TCRA bila kuwa na mkutano wa pamoja na mafundi simu mtafunga wengi

    Maelezo yako ni mazuri ila kusema mwaka 1999 ni nyie 3 ndiyo mlianza ufundi huo ni uongo that time ujaanza wala ujulikani kbs walikuwepo Hima kimeo na Mengi wa post enzi hizo ni mobitel analogi na Steve wa kkoo miaka hiyo. Hoja yako ni nzuri Tcra wanatakiwa wajue na wanajua kwamba mtu unaweza...
  12. drphone

    Kiwanja for sale

    Kipo Dar wilaya ya Ilala jimbo la ukonga kata ya Kipunguni, kina urefu wa futi 29 na upana wa futi 19 barabara ipo na umeme upo karibu utonunua mchanga wakati wa ujenzi wala maji mnunuzi serious tuwasiliane inbox
  13. drphone

    Natafuta software yakubadili sauti kuwa maandishi

    Wadau kama kuna mwenye kujua software ninayoweza kutumia kubadili sauti kwenda kwenye maandishi
Back
Top Bottom