hizo futinafikiri anataka atwambie ni kujenga kibanda cha tigo pesa
samahani mkuu naomba unitoe wasiwasi hii siyo ile kipunguni mashariki ya kitunda relini yenye tetesi ya kuja kuvunjwa na mamlaka ya anga (airport) hapo baadae...penye mgogoro au ulishamalizwa?Kipo Dar wilaya ya Ilala jimbo la ukonga kata ya Kipunguni, kina urefu wa futi 29 na upana wa futi 19 barabara ipo na umeme upo karibu utonunua mchanga wakati wa ujenzi wala maji mnunuzi serious tuwasiliane inbox