Trafic Kimara Bucha wanania ya kuiangusha serikali

Trafic Kimara Bucha wanania ya kuiangusha serikali

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
2,305
Reaction score
3,526
Hawa jamaa wamegeuka kero sana kwa madereva na wananchi wanadai rushwa kwa nguvu, ukiwanyima wanakubambikia makosa kibao, ukiwapa hata kama gari yako haikidhi vigezo vya usalama wanakuacha.

Namna hii tusubiri ajali zaidi.
 
wape hiyo rushwa tu hakuna namna
 
Tatizo la Trafik ni kubwa si kama watu wanavyodhani.

Siku hizi trafic wamekuwa kero kila kona yaani saivi ukisimamishwa na trafic jiandae kwa vitu viwili kuandikiwa kwa lazima au utoe rushwa uachwe.

Nadhani si kosa lao ni serikali imemua kutafuta chanzo kipya cha mapato ndio maana unaona kila mwezi wanajigamba wamekusanya kiasi flan cha pesa tena kikubwa wanadhani ni sifa.

Hii Nchi kuna mambo yanakera sana.
 
Hawa jamaa wamegeuka kero sana kwa madereva na wananchi wanadai rushwa kwa nguvu, ukiwanyima wanakubambikia makosa kibao,ukiwapa hata kama gari yako haikidhi vigezo vya usalama wanakuacha. Namna hii tusubiri ajali zaidi.
Wanakera sana sana hao jamaa. Naombeni mwongozo, ni kosa kama ukitoka Kimara na ukaenda msikitini kwa kupitia barabara ya kuchepuka kwenye mataa ? Au ukitoka Chuo kupitia barabara ya Changanyikeni inabidi uingilie Rombo (kama unaenda Kimara) badala ya kutokea BP na kuendelea na barabara ya kuchepuka mpaka kwenye mataa?
 
Si Rushwa futa kauli yako,ni kijipesa tu cha kupigia kiwi
 
Huwezi shangaa gari lori linakuwa na taa moja ya mbele na linapita hapo hadi kufika Tunduma huku likihatarisha maisha ya wengine!! Mimi najiuliza Huwa wanasimamia na kukagua nini?? Nadhan Kipanya katoa jibu 50% by 50% Wanagawana na waliowatuma
 
Rushwa inaongezeka badala ya kupungua, msiwalaumu maisha yanazidi kuwa magumu
 
Haya matatizo yanasababishwa na Tanroads kwa kutokuweka vibao vya kutosha hasa maeneo ya Rombo na Bucha!! Mimi ninavyojua na ndio hivyo dunia nzima unaweza kufanya u turn kwenye Traffic lights ila kwa weledi wa wenzetu wanaona ni kosa kubwa!! Fikiria unatoka ubungo maziwa na unataka kiingia stendi ya mkoa kiuhalisia Gari zikiruhusiwa kwenda Mwenge unaweza kufanya U TURN!! Kwani hakuna hatari yoyote unayosababisha kiusalama!! Ila ndugu zetu wameona chanzo cha Mapato!! TANROADS MKOA MMEKWENDA SHULE TAFSIRINI SHERIA NA WEKENI VIBAO WATU WANATESEKA KWA UWEPO WA SHERIA ZA HISIA ;;;UJUMBE HUU UMFIKIE ENGINEER NDYAMKAMA NA TEAM YAKE!!! Huku rombo na bucha ni tatizo kubwa sana Jamani tunakwenda wapi na uonevu huu??
 
Point kbs mkuu trafik awapo kusaidia/shauriana/elimishana wao wapo kwa kazioja tu kukomoa kwa kukuandikia faini wanaona ndiyo jukumu lao tu basi lkn c kuonya/elekeza hpn fikiria ulichokisema hapo mm majuzi nimetoka mwenge nakwenda stendi ya mkoa kufika mataa mbele akuna gari na taa zimewaka nyekundu zimeruhusu zinazotoka kimara kwenda buguruni nikaona nisikatize sheli pale nikakunja yakuja stendi uwezi kuamini trafiki alikuwepo ngambo akakimbilia faster nakunisimamisha ananiambia nimevuka taa nyekundu wote 4 tukaandikiwa nilimaindi sana
 
Back
Top Bottom