Recent content by drito

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume Mkinyimwa Mnakuwa Wagwadu Mnooo? Cant you just appreciate what you cant have?

    Mapenzi ya ukubwani yana shida sana !! Boss aliruka stage , somasoma wengi wanasumbua sana katika suala zima la mapenzi sababu kubwa ni kuruka stage. Sio mpaka ufanye mapenzi na mwanamke ndio uwazowee , kupiga nao story utagundua mengi yaliyojoficha katika tabia na mienendo yao kiujumla .
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mume/Mke bora

    Huna jipya.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wanandoa tumieni mtandao vizuri, angalia usije weka ndoa matatani

    Acha kufuatilia maisha ya watu .
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ndoto yangu ya leo nilipomuota miss chagga

    Huyu naye unakuta familia inamtegemea ,Hasara tupu !!!
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nimemkosea rafiki yangu sijui nitamuombaje msamaha

    Peleka Facebook.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mufti Simba wa BAKWATA na Shekh wake Alhadi wanacho cha kujifunza

    Poor thinking from poor people !!
  7. D

    JamiiForums Tanzania Chips ni Mboga au Chakula? Soma hapa

    We ulijuaje kama wako fit ??? Mbona kauli yako tata !!!!
  8. D

    JamiiForums Tanzania Baada ya mahojiano, Gwajima aachiwa kwa dhamana

    Mtu mwenyewe unajiita popo, hata akili zako zimekaa kama popo !!!
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mke wa kaka (shemeji) ananitaka kimapenzi

    Walioweka siku ya wajinga , walijua kuna mataahira kama wewe mnaohitaji siku yenu !!!!
  10. D

    JamiiForums Tanzania Hongera Tv Imaan na Radio Imaan

    Hilo giza ni lipi na hiyo nuru ni ipi ???Hao wanaowatoa wenzao kutoka kwenye giza na kuwapeleka katika nuru ni watu gani hao ?? Usikurupuke na hadithi za kukariri!!!!
  11. D

    JamiiForums Tanzania Hongera Tv Imaan na Radio Imaan

    Mh!! Elimu bila mipaka!! Mimi ninachojua kila kitu kina mipaka!! Mungu mwenyewe ameweka mipaka, au ulimuona hana akili kukuwekea mipaka??? Kitabu chenu wenyewe kimeweka mipaka katika kila jambo au hakijaweka?? 'Freedom Without Limitation Is Nothing'. Usikariri Propaganda!!!!
  12. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa software ya kuflash Sony Experia C2005.

    Ukiiwasha haindelei, haikuletei menu huwezi kufanya chochote.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa software ya kuflash Sony Experia C2005.

    Tatizo lake inawaka lakini haindelei, ianatokea alama ya android na mshangao.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa software ya kuflash Sony Experia C2005.

    Poleni na majukumu mazito mnayokabiliana nayo. Naomba msaada wa software kwa ajili ya kuflash simu tajwa hapo juu. Kuformat kwa njia ya kawaida imeshindikana , naona njia nzuri ni kutumia computer. Ahsanteni.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kwa hili lazima Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) mdharauliwe milele

    Mmhh!! Hawa ndio wasomi wetu!! Wanatambiana elimu zao na vyuo vikuu walipopatia elimu zao!! Ukikuta mtu anaanza kujisifia kupitia elimu yake, jiulize mara mbilimbili kuhusu ufikiri wa mtu huyo.
Back
Top Bottom