Nimemkosea rafiki yangu sijui nitamuombaje msamaha

Huyu bado mtoto mkuu asikuumize akili pengine anamaaniaha mpenzi ikiimuliza anaona aibu kusema anaweza kukwambia ni mtu wangu akimaanisha mpezi na mama ni rafiki kama rafiki basi dogo tabia siyo shwari.

Soma thread vizuri ndipo uchangie mkuu.
 
Wewe umenikosea na bado unakuja kutangaza huku sio? Wee subiri, unazidi kunizidishia hasira.
 
ulishindwaje kujilekebisha mara zote hz ndugu bila shaka kakuchoka..sasa unatakiwa utumie long proces kwanza itakubidi uwe na subra na utumie busara yko na wengne wenyebusara ila usiwe mchakato wa haraka haraka..na ukiona bdo hataki bs juo huwa ndio ulikuwa mwisho coz mwisho jambo mara nying huwa hauna fomla.
 
Mtumie link ya hii sredi atajua wajutia ubaya umfanyiao...
 
Hapa kuna maswali makubwa mawili ili tuweze kukuelewa vizuri na kisha kukusaidia;Moja rafiki huyo ni wa jinsia gani?,pili ni kosa gani ulilomkosea?.weka mambo sawa ueleweke.
 
gvn de second chance to those who hurt u is like gvn dem an extra weapon coz he/she missed u at first
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom