Mimi naweka tu mkazo kwamba mtaji ni wazo na sio pesa nikijitolea mfano mm mwenyewe natama sana kufanya biashara nakumbuka kipindi cha nyuma kabla cjaanza kuzishika pesa nilikuwa nasema nikipata laki moja naanza biashara lakini cha ajabu saivi nashika hadi million tatu mkononi na sina biashara...
wanawake wengi wa saivi pesa kwanza mapenzi baadae....sasa kuna haja gani ya kuwa na mwanamke huyohuyo kila siku wakati unatumia pesa kuwa nae?...y not changing them kama nguo?...me naona kuna haja ya kuwa na ndoa za mikataba hapa Tanzania
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.