Chief Ken Lo
Member
- Sep 14, 2011
- 56
- 4
Mmemshahau Conctrete
hahahahahahahahahahahah......
umesahau CHOO CHA KARAKANA
Mmemshahau Conctrete
kwakweli mmenikumbusha mambo mengi sn vijana wangu;
Jitu yupo wapi jamani, mirambo, chaburuma, sinza, kwa mama, vitomali, kande, bondo duuuuuuuu mnanikumbusha mbali sn jamani 2002-2004 yani hapa palikuwa hapatoshi kabisa watu wangu.
msitu kabla sijasahau mwendo wa kitabu kwa kwenda mbele, I love this country (Ifunda)
Wakina man 2 man kitomali aka andazi, mitaa ya bandabichi ulanzi full.ifunda tech oyeee!
Ongezea na KITOMALI,SEUTA,KIUNGA,MAKIRIGA,NGIRI,KATARA,CHEMBA,KUZIVUNA,KWA-MAMA,MNAROMA,BONDIA,SINZA,MKWAWA,MIRAMBO,CHABURUMA BILA KUSAHAU ROOM YANGU G6 SEUTA,KIPORI,KUSIMAMISHA MNAZI,KIBAONI,KUUZOA.
MOMA
Ifunda member 2002-2004
0772123362
Wakina man 2 man kitomali aka andazi, mitaa ya bandabichi ulanzi full.ifunda tech oyeee!
hahahahahahahahahah..........
unaikumbuka local connection, chemsha sana mahindi ya walimu juu ya dari!!!
mmmh mi sijasoma huko but mambo yenu safi nina mpango wa kusoma a level uko kwa comb pgm vipi nipeni chachu za ukoOngezea na KITOMALI,SEUTA,KIUNGA,MAKIRIGA,NGIRI,KATARA,CHEMBA,KUZIVUNA,KWA-MAMA,MNAROMA,BONDIA,SINZA,MKWAWA,MIRAMBO,CHABURUMA BILA KUSAHAU ROOM YANGU G6 SEUTA,KIPORI,KUSIMAMISHA MNAZI,KIBAONI,KUUZOA.
MOMA
Ifunda member 2002-2004
0772123362
ni bonge la shule ila kama unajielewa product ya 2017 advance huwez jutia kuwa the grorious ! coz hubanwi sana unafanya unacho penda kwa wakati wakommmh mi sijasoma huko but mambo yenu safi nina mpango wa kusoma a level uko kwa comb pgm vipi nipeni chachu za uko
ukichaguliwa hapo nitafute nikupe ma-hints ya kutoboa ukiwa tech unaweza ni PMmmmh mi sijasoma huko but mambo yenu safi nina mpango wa kusoma a level uko kwa comb pgm vipi nipeni chachu za uko
D2 hoyeee!!!! Block lililopo karibu na mesiniHakyanani tena ..........jamani........... KUUZOA, IYDT, Saka, Kaguo (People), Kocha, Mwakalindile (Brigedia), Blood Kinyakanyaka, Sinza, Kipoli, Kipute, kusimaisha minazi, msituni, vizibo, nyuka, bondo, ubinzi, Kitomali, Kipengere, Anand (RIP) wa namba, Tumwidike (a.k.a Mrs Brigedia), Mhapa (na kipikipiki chake), Olu...........etc.........etc............... Niliishi D2 from day one mpaka namaliza shule........Room mates ni Awadh, Sharp, Ntashimikilo Nyangata, Alen, Robaert Mwaipungu, ................... Nawakumbuka Medadi Thumuni (RURECU-rukwa retco), Noti Mgaya, Joyce (WASA), Wasandunga na Mafyosi, ........... Jamani....this was between 1988 na 1991................ Ifunda the glorious Technical School live long forever, with our moto skills and eficiency, we shall build our nation strong, and our school shall shine forever more.................oooooooohoooooooooooo GOD bless our schoool................. Yaani nimemkumbuka Songoro wa Music..................... Jamani mnakumbuka ww (WOOD WORK)................... Naikumbuka definition yake...............study of timber and iron mongery.................... BY THE WAY........NILIANZA FORM ONE B (KWA MCHILI), NA KUISHIA GROUP FOUR kwa Mbungi na Shabani......................
Ilikuwaje ikawa 1988 to 1992, badala ya 1988 to 1991?Cant forget disco la Iringa Girls:violin::violin: mchizi Membi Kileo, Mwesigwa kuumla uroda yule mama wa Baiology, Mwaipaja, Brigedia Mwakalindile, Vernier calliper (Alex the russian teacher), Sagu Kyando, Mota Kyando, Mdimu Sangiwa, Albert Ntemi, Mwasekaga, form one wangu-Ivo Mapunda (the former Taifa Stars goalkeeper). Kwakweli kazi za kwenda kulima shamba la shule zilikuwa kiboko:A S-danger:
Cant forget adhabu ya kukata CUBIC ya kuni ilikuwa si mchezo!
Mirambo for life - C6 1988-1992 Fitting and Turning.
Nilimpkea Libealtusi Kinyonto kupiga malimba na kinanda IYDTUmenikumbusha A1 manake unapotoka mnarani ukishapita zuu lazima baada ya kuzunguka keep left unakutana na room ya akina SAID KAMBI, ABRAHAM MDASSA, SOLOMON MGIMBA, MWANYIKA FROLIAN, humo lazima unakutana na mtu alikuwa anaitwa kipofu form one!!!then unakwenda moja kwa moja unakutana na super ngede 1990-1993, halafu mojakwamoja unakutana na wanafunzi mjifeel wenyewe (mzee Nyamahanga) hapo akiwa rollcall pale mess ya mkwawa akiwa mwalimu wa Bweni, unaenda moja kwa moja lyandembela kupitia chabruma unakutana na vijana wanaogelea wengine no kutahiri, halafu unakwenda kile kijiji cha mbele kwenye makusu ambako watu walikuwa wanauza vijiko na sahani za wanafunzi wenzao, unarudi mojakwamoja hadi Bandabichi unakutana na Ayeya!! yap yap sijui unamkumbuka yule mshikaji alipewa ladhi na mamayake sijui alifanyanini? then unatokea nyumbani kwa Mwalimu ANAND maskini marehemu sasa unakwenda moja kwa moja hadi Milambo unakutana na class met Mapunda Ivo enzi , akiwa na wachezaji kama WAMBURA, aaaah unapitia moja kwa moja kwenye vyoo vya kuflash unakutana na mlima wa kinyesi halafu unaambiwa form one upige simu kwenu huku kiwaya kikiwa kimechomekwa kwenye nyesi!!!!! ahhh unanyoosha hadi pale Kisimani kuelekea ofisi ya MPIRI!!! MZEE WA ENGLISH halafu unaingia mazengo unakutana na IYDT zena seif akiimba taarabu mbele ya John Msumba huku kuna kaptein John Komba aka Mnyama wa motion(levocatus sebastian) then moja kwa moja hadi kwa people!! you you are playing zero distance hapo mnacheza disco na mabinti wa Iringa zuuu!! umenipeleka mbali sana!!