MZEE WA ROCK
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 622
- 152
bunge la Kenya jana lilijaa kisa kuna muswada wa 50-50, wabunge wanaume walipingaje hiyo kitu!!! wanawake wako very strategic na idea zao,
Heh mkataba wako mfupi sana Sista
Ukinogewa na 'ndoa' yangu si utarenew daud omar