Recent content by Dreep

  1. D

    Zitto natofautiana na wewe juu ya hili

    Suala la kodi sio la kuchekeana na kuleta siasa , KODI LAZIMA ILIPWE NA KILA MTU, serikali lazima ikusanye kodi bila kujali sur kampuni wala nani ? maana kama unataka maendeleo kodi ni lazima hakuna nchi inayojiendesha bila kodi
  2. D

    Prof. Lipumba Afikishwa Mahakamani, akimbizwa kliniki ya UN baada ya Afya yake kubadilika

    Hivi kama ndio UKAWA inagoza nchi kweli mngekuwa mnaruhusu kufanya lolote bila kufuata sheria . Nadhani nyie mnataka nchi isitawalike kama mlivyoahidi na itakuwa ni ujinga kuwaacha . Subirini awamu yenu muongoze nchi isiyotawalika na isiyofuta misingi ya kisheria.
  3. D

    Lema, Nasari na Sugu: Tutamng'oa Prof. Muhongo bungeni kinguvu

    Rais anashauriwa na sio kushinikizwa elewa
  4. D

    Wabunge wa Tanzania ni wapiga dili

    Huu ni ukweli usiopingika , na tunayaona kabisa
  5. D

    Godbless Lema kutumia nguvu ni kukosa uwezo wa kujenga hoja au ameathiriwa na kazi yake ya awali?

    Kweli Lema akili zake ni nusu kijiko cha chai, Lema subiri wakati mtakapochukua nchi na siasa zenu za nchi isitawalike ndio ufanye ujinga unaotegemea kuufanya. Hivi huoni kuwa unawatesa watu wa Arusha kwa kuhamasisha vurugu, watalii wamekimbia kwa sababu yako, vijana wamekosa ajira kwa sababu...
  6. D

    Wanaombeza Prof. Muhongo wanalipwa au wana matatizo ya akili

    Bisha kwa hoja sio kuleta matusi, Muhongo kafanya kazi hakuna asiyefahamu ukweli huo , msijifanye mmevaa miwani ya mbao wakati simu na TV na kadhalika zinategemea umeme ambao Muhongo halali usiku na mchana kuwahangaikia watanzania eti mnambeza , Jueni Mungu yupo na malipo yenu yapo kwa kulipwa...
  7. D

    Laiti wananchi wangeisoma ripoti ya CAG mapema

    Hivi kweli ripoti ya CAG kweli umeisoma vizuri au unazungumza usilolijua , kama ungelisoma ripoti hiyo sidhani hata ungekuwa unaandika habari hizi hapa. Kwa kifupi PAC ilihongwa kuwapotosha watanzania na haikufanya kazi kwa maslahi ya watanzania kila mtu analitambua.
  8. D

    Kama Muhongo hakuhusika, Mengi anahusikaje?

    Mengi anawalipa watu fedha ili wawachafue watendaji kwa manufaa yakehilo halina ubishi na kila mtanzania analitambua , ni mbinafsi wa kupitiliza, angalia historia yake amegombana na Masilingi, Malima Lowasa, na wengine wengi akijitia ni mzalendo hana lolote tunafahamu hilo.
  9. D

    PAC ilivyowajaza hasira wananchi

    Kwa kifupi PAC ilihongwa ili ije ipotoshe watanzania hilo tumelitambua.
  10. D

    Yote yana mwisho wake ipo siku wanasiasa wezi tutawahukumu

    Mbona huwazungumzii mafisadi wakubwa akina Mengi , Mbowe na Mkono au umetumwa acha Umbea kijana
  11. D

    Orodha ya wasaliti Tanzania ni ndefu

    Mbowe na kuuza milingoti ya umeme kwa bei ghali kumbe inatoka mafinga huo sio wizi, akijidai inatoka South Africa
  12. D

    Muhongo: Watanzania wawekezaji juice ndio wanaoongoza kwa utajiri kuliko wachimba madini

    Nadhani huna data zozote kuhusu uwekezaji wa mafuta na gas hao SWAQLA unaowasema wamechemka , tafuta data zao utaona , usikurupuke , taaluma hii haitaki porojo kabisa.
  13. D

    Kikwete, humkomoi Mengi bali unaikomoa CCM

    Ukweli ni kuwa Mengi halipi Annual rent za viwanja anavyomiliki vya madini , anafanya udalali wa viwanja vya madini na haviendelezi sasa akiambiwa ukweli anakuja juu, iweje tajiri mkubwa kama yeye asilipe wakati wadogo wanalipa hapa Muhongo yupo sahihi. Mengi anatumia Media vibaya kuchafua watu...
Back
Top Bottom