wakimataifa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 942
- 169
Wabunge vinara kwenye kamati ni wapiga dili la kutaka kipato chochote kwenye taasisi zenye mzunguko wa pesa. sijawai kusikia wabunge wa kamati za elimu, afya, maji, mifugo.ardhi ni vitu vinavyowabuguzi sana wananchi wao. kamati zenye kuchonga laini ni PAC tamisemi maliasili kote huko ndio wanapoona kwenye hela kwa sasa wanaiandama wizara ya nishati na madini aidha kwa shinikizo na kulazimisha kupata stafutai.
watatafuta hata kuunda majungu ili mradi wafanikiwe. Mimi minawambie hela hamtazipata kwa kuwa ni za serikali mtabakia kutuletea madhara ya chuki kati ya serikali na wanainchi hilo ni hatari sana
watatafuta hata kuunda majungu ili mradi wafanikiwe. Mimi minawambie hela hamtazipata kwa kuwa ni za serikali mtabakia kutuletea madhara ya chuki kati ya serikali na wanainchi hilo ni hatari sana