Mathematicien
Member
- Jul 25, 2014
- 60
- 28
Kama Mengi ameweza kushawishi Bunge lenye ccm wengi na pccb na CAG na akafanikiwa basi hakuna serekali hata rais ameshindwa kazi hao wateule wake wote hawafai na Muhongo ni mmoja wao
nipe maana ya kuwajibishwa.
uchunguzi wa nini wakati bunge lilishatoa mapendekezo
ThanksBunge halijatowa mapendekezo, bunge limetowa maazimio na moja kati hayo maazimio ni hilo la uchunguzi kuendelea, tena ni azimio la tatu, na kama hujalisoma ni hili hapa:
Azimio la Tatu: Linasomeka; Bunge linaazimia kwamba TAKUKURU, Jeshi la Polisi na vyombo vingine husika vya ulinzi na usalama vichukue hatua stahili kwa mujibu wa sheria za nchi yetu dhidi ya watu waliotajwa kwenye taarifa maalum ya Kamati husika na vitendo vyote vya kijinai kuhusiana na miamala ya Akaunti ya ESCROW, na watu wengine watakaogundulika kufuatia uchunguzi mbalimbali unaoendelea kuhusu kuhusika kwao katika vitendo hivyo vya jinai Vyombo husika vimekwishaagizwa kufanya hivyo na kazi imeanza na inaendelea. Ikiwa wapo watu wenye makosa hatua zitachukuliwa kwa mujibu wa sheria.
Amewajibishwa Maswi na watendaji wendine wa Tanesco kwa utendaji mbaya wa Wizara ambayo anaiongoza Muhongo. Muhongo yupo kiporo anazunguka kama pia. Sasa wanapoandika waandishi wa Habari wa IPP kwa nini tunakimbilia kusema ni Mengi? Kwani wale waandishi wa IPP hawajui kutafuta habari na kwamba Mengi ndo anawatafutia habari? Kwamba Mengi kakosa Vitalu ndo maana anamshambulia Muhongo? Leteni ushahidi hapa muache hapa. Mimi naamini CAG, PCCB, TRA na Bunge hawakuwa Vihiyo kusema fedha ni za umma kwamba Muhongo awajibishwe. Na basi mtuambie kwamba Mengi aliwahonga CAG, PCCB, TRA na Bunge ili waseme kwamba pesa ni za umma. Muhongo yupo kulinda maslahi ya wakubwa na msimsingizie Mengi, mmeharibu wenyewe. Muhongo must GO.
Watu wengine ni wapuuuzi. Mengi ndo kaanzisha akaunti ya escrow? Mengi ndo kawashawishi kina Muhongo wakakwapue hela yenye Mgogoro? Na subiri orodha ya stanbic itoke ndo mtaumbuka na mihongo yenu .
Unajua ni watu wa CCM ndo wanasema Mengi ni Mbaya. mbona hamsemi CAG, PCCB, TRA na Bunge ni wabaya. Mengi amewachoma nini? Leteni ushahidi basi na sisi tujue ubaya wake. Ila sisi CAG, PCCB, TRA na Bunge wametuambia Muhongo no mtu mbaya na uhahidi upo. Leteni na wa kwenu.
Mengi mpuuzi sana.
Hiyo report ya CAG na PCCB umeisoma wapi inaposema muhongo awajibishwe?ukurasa wa ngapi? Report ya PCCB umeiona wapi?unaweza kuiweka humu?
Aliesema pesa sio za umma ni kikwete,kwa nini usiseme kikwete must go? Kikwete kasema pesa sio za umma alafu unataka Muhongo aondoke,unatumia akili kufikiri au makalio?muhongo na kikwete nani mkubwa?
Unajua ni watu wa CCM ndo wanasema Mengi ni Mbaya. mbona hamsemi CAG, PCCB, TRA na Bunge ni wabaya. Mengi amewachoma nini? Leteni ushahidi basi na sisi tujue ubaya wake. Ila sisi CAG, PCCB, TRA na Bunge wametuambia Muhongo no mtu mbaya na uhahidi upo. Leteni na wa kwenu.
nipe maana ya kuwajibishwa.
Halijatowa = HalijatoaBunge halijatowa mapendekezo, bunge limetowa maazimio na moja kati ya hayo maazimio ni hilo la uchunguzi kuendelea, tena ni azimio la tatu,
.....
.....
.....
Amewajibishwa Maswi na watendaji wendine wa Tanesco kwa utendaji mbaya wa Wizara ambayo anaiongoza Muhongo. Muhongo yupo kiporo anazunguka kama pia. Sasa wanapoandika waandishi wa Habari wa IPP kwa nini tunakimbilia kusema ni Mengi? Kwani wale waandishi wa IPP hawajui kutafuta habari na kwamba Mengi ndo anawatafutia habari? Kwamba Mengi kakosa Vitalu ndo maana anamshambulia Muhongo? Leteni ushahidi hapa muache hapa. Mimi naamini CAG, PCCB, TRA na Bunge hawakuwa Vihiyo kusema fedha ni za umma kwamba Muhongo awajibishwe. Na basi mtuambie kwamba Mengi aliwahonga CAG, PCCB, TRA na Bunge ili waseme kwamba pesa ni za umma. Muhongo yupo kulinda maslahi ya wakubwa na msimsingizie Mengi, mmeharibu wenyewe. Muhongo must GO.
Mengi anawalipa watu fedha ili wawachafue watendaji kwa manufaa yakehilo halina ubishi na kila mtanzania analitambua , ni mbinafsi wa kupitiliza, angalia historia yake amegombana na Masilingi, Malima Lowasa, na wengine wengi akijitia ni mzalendo hana lolote tunafahamu hilo.
karibu Mueshimia muongo( samaani keyboard yangu aina erufi moja katika jina lako)Mengi ni zaidi ya jambazi na fisadi namba moja.
Hii ndio post yangu ya mwisho kukunukuu,nimegundua huna akili.
Hizo report za cag,pccb,tra zilizomtaja muhongo kama mtu mbaya ni zipi? Kwa nini mnapenda kutunga umbea na kuuleta humu