Wanaombeza Prof. Muhongo wanalipwa au wana matatizo ya akili

Wanaombeza Prof. Muhongo wanalipwa au wana matatizo ya akili

shalet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
3,441
Reaction score
3,613
Ukiangalia perfomance ya wizara ya nishati chini ya prof. Muhongo ni dhahiri kafanya kazi kubwa toka ateuliwe na mheshimiwa Kikwete kuiongoza wizara hiyo.

Sasa 36% ya watanzania wanapata umeme cha kushangaza watu wanaleta chuki zao bila sababu ya msingi sijui ndio kuzaliwa mjini kukulia mjini na kutotaka kujua mambo ya kijijini ndiko kunawafanya watu washindwe kutambua miradi mingi ya usambazaji umeme vijijini inavyotekelezwa na mheshimiwa Muhongo.

Kwa kweli Muhongo kafanya kazi kubwa na kumpuuza unahitaji kulipwa au kuwa na matatizo ya akili.
No doubt, Sospeter Muhongo is a renowned person in the world of geology and has just been so in Tanzania two years after being appointed minister for Energy and Minerals, a very cumbersome portfolio to lead. Prof Muhongo’s profile is built on his intelligence and professorial practice in a broader field of geology worldwide.

About two years ago, I and, of course, many Tanzanians did not know him until the time when President Jakaya Kikwete uncovered him from the depth of geology field, where for many years this highly expert had been deeply immersed practising his most loved work -- geology.

Due to the nature of the ministry he was appointed to lead and his peculiar intelligence, the name of Muhongo soon became so famous among all Tanzanians, both young and adults.

Prof Muhongo began his work with full determination, enthusiasm, and commitment, realising that his appointment was not by accident, but was highly meant to bring a difference in the ministry which for several decades has been a try and error portfolio.

Ordinary person

Prof Muhongo as an ordinary person in terms of confidence, eloquence, and rhetoric, after starting his job, immediately raised hopes of many Tanzanians, who for many years have been witnessing in and out of presidential appointees in this portfolio, while at the same time suffering from poor services of the utility company - Tanzania Electric Supply Company (Tanesco), on the one hand, and, on the other, their valuables minerals are exploited without having any lion’s share.

Thus, Prof Muhongo became a shining star among very few ‘stars’ in the Cabinet of President Jakaya Kikwete.

Others being Dr Harrison Mwakyembe, and Dr John Magufuli in Transport and Works ministries respectively. Are these guys really doing their job well and carefully or seem so because we as a society do not have a culture of working diligently?

Is this momentarily shining star Prof Muhongo going to diminish soon and get away from the Tanzania’s sky? Are we going to lose Prof Muhongo on legitimate grounds or simply on politically manufactured scandal against him?

By trying to highlight Prof Muhongo’s profile in this article, I am not at all ignoring what transpired in the National Assembly last November and its resolutions on the escrow account saga, but I am trying to contrast Prof Muhongo’s workmanship of its kind and what fell on him as an implication of the escrow account.

Prof Muhongo is one a few Tanzanians, who can stand before people and declare unquestionable integrity. He is really a man of integrity or so claimed to be?

Let us put this question to him and let him give a public answer in due time.

Source: Mwananchi

Professor kawekwa KIPORO wiki ya tatu sasa, si atakuwa kaoza tayari?
 
wewe unamtukuza kwa sababu ni mumeo

Bisha kwa hoja sio kuleta matusi, Muhongo kafanya kazi hakuna asiyefahamu ukweli huo , msijifanye mmevaa miwani ya mbao wakati simu na TV na kadhalika zinategemea umeme ambao Muhongo halali usiku na mchana kuwahangaikia watanzania eti mnambeza , Jueni Mungu yupo na malipo yenu yapo kwa kulipwa ili mumuchafue , na adhabu ipo hapa hapa duniani.
 
Huo umeme katoa mfukoni mwake!!!!

Mkuu hata kama anatumia kodi zetu kafanya mambo ambayo wengi kabla yake walishindwa lazima tuwe wakweli kuhusu hilo.
 
Muhongo ni mchapakazi wengi wanaobisha kwa sababu ya chuki binafsi tu ndio zinazowasumbua
 
Sijui kwa nini upoteze muda kumtetea mwanamume mwenzio kiasi hiki! Hivi unafikiri katika hali ya kawaida tu kusingekuwepo na ongezeko la mahitaji ya umeme na hivyo ongezeko katika ugavi? Unajua ni kwa kasi gani watanzania wanakimbilia solar power? Je inatokana kuwa na waziri (kwa jina lolote utakalompa) wa Nishati?

Ni upungufu wa fikra kufikiria maendeleo katika nyanja yeyote ile itategemea mtu kama mtu akiwa waziri. Bila shaka anaweza akawezesha na hivyo kuongeza kasi. Lakini kasi gani kwenye sekta ya umeme tumeona. Ni kidogo mno na juu ya hayo angalia takwimu za TANESCO, mapato yao yalivyo athiriwa na kukatika katika umeme, adha wanayopata wananchi kutokana na umeme usio na uhakika, madeni makubwa ya TANESCO licha ya kashfa yote haya wakati wa huyo unayemwona wewe mwanamume!
 
Ukiangalia perfomance ya wizara ya nishati chini ya prof. Muhongo ni dhahiri kafanya kazi kubwa toka ateuliwe na mheshimiwa Kikwete kuiongoza wizara hiyo.

Sasa 36% ya watanzania wanapata umeme cha kushangaza watu wanaleta chuki zao bila sababu ya msingi sijui ndio kuzaliwa mjini kukulia mjini na kutotaka kujua mambo ya kijijini ndiko kunawafanya watu washindwe kutambua miradi mingi ya usambazaji umeme vijijini inavyotekelezwa na mheshimiwa Muhongo.

Kwa kweli Muhongo kafanya kazi kubwa na kumpuuza unahitaji kulipwa au kuwa na matatizo ya akili.
Hili la Escrow mbona hulisemi, kwani katoa hela yake mfukoni kufanikisha hayo. Mwizi. Yaani unatoka povu kumteteya m/m mwwnzio wewe vp? Kwani yeye hana mdomo. Toka hapa p..v ww!!
 
Simfii kama mwanaume namsifia kama waziri mchapakazi kama maendeleo katika sekta yoyote ile yanahitaji usimamizi makini na hiyo kazi muhongo kaifanya vizuri vijiji vingi sana vinapata umeme sasa kuliko kipindi chochote kile na kuhusu suala la escrow hakuna ushahidi kwamba muhongo alihusika.
 
Muhongo alidanganya umma kwamba katika pesa ya escrow hakuna hela ya serikali, na tunataka awajibishwe ili iwe fundisho kwa wengine wanatudanganya watanzania kama watoto wadogo kwa kutaka kulinda wizi wanaoufanya.
 
Hili la Escrow mbona hulisemi, kwani katoa hela yake mfukoni kufanikisha hayo. Mwizi. Yaani unatoka povu kumteteya m/m mwwnzio wewe vp? Kwani yeye hana mdomo. Toka hapa p..v ww!!

Kwa hiyo nijifanye sioni mazuri aliyoyafanya kisa nikisema ni mwanaume mwezangu mbona mabaya wakifanya huwa mnayaleta hamsubiri wayalete wenyewe ila mazuri yao hamtaki kusikia hii double standard mbaya sana, hajatoa hela mfukoni mwake lakini waliopita walishindwa kufanya kwa bajeti hiyo hiyo anayopewa muhongo tukubali tukatae muhongo ni mchapakazi na msimamizi mzuri over.
 
Ukiangalia perfomance ya wizara ya nishati chini ya prof. Muhongo ni dhahiri kafanya kazi kubwa toka ateuliwe na mheshimiwa Kikwete kuiongoza wizara hiyo.

Sasa 36% ya watanzania wanapata umeme cha kushangaza watu wanaleta chuki zao bila sababu ya msingi sijui ndio kuzaliwa mjini kukulia mjini na kutotaka kujua mambo ya kijijini ndiko kunawafanya watu washindwe kutambua miradi mingi ya usambazaji umeme vijijini inavyotekelezwa na mheshimiwa Muhongo.

Kwa kweli Muhongo kafanya kazi kubwa na kumpuuza unahitaji kulipwa au kuwa na matatizo ya akili.

dont advertise ur foolishness!!!!
 
Si kama tunachuki na muhongo binafsi ila profesa huyu ni mzigo usiobebeka. Toka ameingia wizarani, hasara imeongezeka sana tena kwa kiwango kikubwa sana. Lakini pia si mtu wa kuaminika, ni muongo na alikwisha kemewa na bunge kutokana na tabia yake ya kudanganya. Kama kemeo hilo halitoshi, katika mijadala ya sakata la escro bungeni aliendelea kutoa maelezo ya uongo huku akishabikia kuchotwa kwa fedha za umma bila ya kuionea huruma tanesco ambayo iko hoi kutokana na kubebeshwa mzigo wa madeni ya kihuni.
Muhongo si mzalendo ameendelea kuchota fedha na rasilimali za tanesco ili kufanikisha ziara zake zenye lengo la kujisafisha. Mfano, ameelekeza tanesco kutoa matairi ya magari na mafuta kwaajili ya magari ambayo si ya tanesco ktk msafara wake. Najua kwa hakika kuwa profesa anaendelea kugawa fedha na laptop kwa mawakala wake kama mleta hoja hii.
Huyu bwana hasafishiki kwani pamoja na yote hayo amejaa lugha za dharau na kejeli kwa wazalendo, wazawa.
Sie tunamshangaa sana mkuu wa nchi kwa kuendelea kumkumbatia bwana huyu ambae ni mwizi anayevaa suti. KAMA NA WEWE UNAMHUSUDU mualike aje home kwako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom