Recent content by dreams

  1. D

    JamiiForums Tanzania Zoezi gani zuri kutengeneza shingo bila kwenda gym

    nafkiri mnahitaji kuangalia shingo za watu ili mumwelewe mtoa mada.....
  2. D

    JamiiForums Tanzania Utunzaji wa nywele za asili

    mie natumia ila siweki asali inavunja nywele zangu!
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wanawake bado mnavaa gagulo (Underskirt) kwenye nguo za kuonesha?

    mie bila KISHIDA sitoki ndani!!!
  4. D

    JamiiForums Tanzania Unamfanyaje huyu mume anayehitaji faraja baada ya mchepuko wake kufariki dunia?

    mchepuko kafa nanini?? apo ndo kuna shida!!!
  5. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke kazidi ubinafsi sijui nifanyeje

    LAB
  6. D

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa baadhi ya wanaume wa kibongo upo kitandani

    :majani7: :majani7: :dance:
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Ndoa bila watoto sio ndoa

    Nafikiri unapotosha jamii ukisema WAMECHOROPOA, WAMECHEZEA UJANA WAO wako wanaochoropoa usiku na mchana na bado wanazaa, wangine wanafungwa vizazi bado wanazaaa! msituhukumu tusiozaa, ni majaliwa! aliyewapa nyie hao watoto ndiye aliyetukosesha sisi!
  8. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki asiye na mke kuanzia miaka 56 kuendelea

    Mleta mada, kama humu wako vijana kizaidi tafuta 56 wako sehemu ingine. wadau mbona ivo, labda ni mjane anatafuta magane au vise versa!
  9. D

    JamiiForums Tanzania Hivi unaanzaje kumwambia mwenzako katika mahusiano au ndoa kwamba umeathirika?

    Njia kuu kuna JAM sana!!
  10. D

    JamiiForums Tanzania Hii tabia dada zetu mmeitoa wapi siku hizi?

    kama unarudi na kusafiri tena kabla ya siku 90 inakuaje? vvu vinaonekana baada ya naite dais
  11. D

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje ili nisipende sana, naomba ushauri

    Mm sina undugu na huyo anaekuchanganya, nahitaji ke wa tabia kama zako! (Crazy over me) Nitakuabudu! U'll b treated like a GODDES! hawa ndo hao hao!
Back
Top Bottom